Kmoryo
Member
- Jul 2, 2020
- 9
- 4
Watakuwa wakenya hao, wachunguzeni vizuri
Hii ni hatari sana
Watakuwa wakenya hao, wachunguzeni vizuri
Kubabakeee , mshaanza ukabilaIye vinyua mnu hasa vaya valeuya kaa baada ya maisha a mjini iyumba
Hapana sio Wakenya bali ni vijana wazaliwa wa palepale na polisi wanawajua. Rombo ni wilaya yenye hali mbaya sana kiusalama. Polisi, majambazi, wauza bangi na gongo ni timu moja. Raia hawapati usingizi.Watakuwa wakenya hao, wachunguzeni vizuri
Wewe una disagree kwamba Rombo hakuna uhalifu wa kutisha? Kwa nini unapanick? Unataka vyombo vya usalama vimchunguze mtoa taarifa badala ya kuchunguza hao polisi wako wanaotuhumiwa? Unasema uhalifu umepungua weka facts hapa tujue umepungua kwa asilimia ngapi. Unataka kusema sio kweli kwamba polisi wa kituo cha Mengwe wanashirikiana na wezi na wauza gongo? Unataka tuwataje majina hapa ndio ujue seriousness ya tatizo? Kama Mengwe polisi hawashirikiani na wezi mbona OCD alitoa namba yake ya simu kwa wananchi wa vijiji vya Mengwe na Manda ili wawe wanampigia direct? Kwa nini hakusema wananchi wampigie OCS wa Mengwe? Jibu ni kwamba kituo cha polisi Mengwe kimegeuka genge la uhalifu.I disagree!!
Ama mleta uzi ana chuki binafsi na baadhi ya Askari au amekuja tu Rombo akasikia porojo za kijiweni.
Tena afadhali usingemtaja kabisa OCD.
Na wacha niseme ukweli-Wakija Askari wachapakazi hapa Rombo,criminals wanawatafitia mizengwe ili waondolewe.
Tukirejea Siku za nyuma kabla ya OCD aliyepo-Crime ilikuwa juu sana-Amekuja Huyu OCD kijana ametembeza moto kila mahali Wilaya imetulia,Hanywi pombe si mtu wa kuna nyingi tyr mnaanza kuunda Zengwe.
Siamini kwamba Jeshi litakuwa kipofu lisitumie vyombo kujua hizi mbinu chafu DHIDI ya OCD Kitole.
Kama kuna Askari waovu mbona pale kwa DC kuna dawati la kero?
Wacha niseme-Huyu kijana si mnafiki na apewe Ushirikiano wa kutosha kwa sb anatusaidia sana hapa Rombo.
Hizi tuhuma zina jambo Ebu nyuma yake-can be an organized crime...!