I disagree!!
Ama mleta uzi ana chuki binafsi na baadhi ya Askari au amekuja tu Rombo akasikia porojo za kijiweni.
Tena afadhali usingemtaja kabisa OCD.
Na wacha niseme ukweli-Wakija Askari wachapakazi hapa Rombo,criminals wanawatafitia mizengwe ili waondolewe.
Tukirejea Siku za nyuma kabla ya OCD aliyepo-Crime ilikuwa juu sana-Amekuja Huyu OCD kijana ametembeza moto kila mahali Wilaya imetulia,Hanywi pombe si mtu wa kuna nyingi tyr mnaanza kuunda Zengwe.
Siamini kwamba Jeshi litakuwa kipofu lisitumie vyombo kujua hizi mbinu chafu DHIDI ya OCD Kitole.
Kama kuna Askari waovu mbona pale kwa DC kuna dawati la kero?
Wacha niseme-Huyu kijana si mnafiki na apewe Ushirikiano wa kutosha kwa sb anatusaidia sana hapa Rombo.
Hizi tuhuma zina jambo Ebu nyuma yake-can be an organized crime...!