The Elephant
JF-Expert Member
- Dec 18, 2014
- 4,342
- 4,614
Kwa hiyo Kiki tu?? bila shaka kuna wasimamizi wa hifadhi hiyoEneo la hifadhi watu hawaruhusiwi kuingia hao wanaotafutwa hawana makosa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo Kiki tu?? bila shaka kuna wasimamizi wa hifadhi hiyoEneo la hifadhi watu hawaruhusiwi kuingia hao wanaotafutwa hawana makosa
Wangekuta madini wangepongezwa kwa ugunduzi na kupewa Tuzo na Mh. Rais Tshs 100,000,000/= each kama Kule MereraniHill ni eneo la serikali hivyo wa kuulizwa na kuhojiwa ni serikali
hata hivyo wangekuta madini wangemuuliza nani ?
LEOO MNAJUA MOROGOROOOKAMANDA wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Wilbroad Mutafungwa, atoa siku mbili kwa viongozi wa vijiji vitano mkoani humo kujisalimisha polisi baada ya operesheni iliyofanywa na jeshi hilo, kubaini hekari 100 za mashamba ya bangi.
Vijiji hivyo amevitaja kuwa ni Bunduki, Misengere, Kododo, Vinile, na Yowe, kata ya Doma, wilayani Mvomero, vinavyozunguka bonde la Mto Mgeta.
Kamanda Mtafungwa alitoa agizo hilo jana wakati wa operesheni maalum ya kusaka watu wanaojihusisha na vitendo vya kihalifu vya kuzalisha na kuuza bangi kinyume na sheria.
Alisema mashamba hayo zaidi ya hekari 100 yamebainika umbali wa kilomita 30 kutoka eneo la makazi ya watu katika kijiji cha Misengele, Tarafa ya Doma.
“Natoa siku mbili kwa viongozi hawa wa jijiji kujisalimisha kituo cha polisi wenyewe ili watuambie walikuwa wapi miaka yote mambo haya yanafanyika katika maeneo yao pasipo kutoa taarifa yoyote,” alihoji Mutafungwa.
Alisema eneo hilo lililopo karibu na mto Mgeta, lipo ndani ya hifadhi ya msitu asilia wa Misengele na kuzitaka mamlaka zinazohusika na uhifadhi wa maeneo hayo kuweka uangalizi wa karibu kujua shughuli zinazoendelea.
“Eneo hili ni hifadhi hairuhusiwi mtu yeyote kufika ama kuendesha shughuli za kibinadamu, lakini katika operesheni kufuatilia taarifa za uchunguzi inabainika uwapo wa mashamba haya makubwa ilhali viongozi wa vijiji wapo na wamenyamaza,” alisema SACP Mtafungwa.
Kamanda Mtafungwa alisema katika operesheni hiyo inayoendelea watu 12 wanashikiliwa na jeshi hilo kwa tuhuma za kujihusisha na biashara haramu ya dawa za kulevya.
Ofisa Mtendaji wa Kata ya Doma, Mapambano Mkopi, aliyeshiriki katika operesheni hiyo, alisema walishindwa kutambua uwapo wa shughuli hizo kutokana na umbali toka yalipo makazi ya watu.
Chanzo: NIPASHE
KARUKWA MTU HAPO KWENYE MALIPOKAMANDA wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Wilbroad Mutafungwa, atoa siku mbili kwa viongozi wa vijiji vitano mkoani humo kujisalimisha polisi baada ya operesheni iliyofanywa na jeshi hilo, kubaini hekari 100 za mashamba ya bangi.
Vijiji hivyo amevitaja kuwa ni Bunduki, Misengere, Kododo, Vinile, na Yowe, kata ya Doma, wilayani Mvomero, vinavyozunguka bonde la Mto Mgeta.
Kamanda Mtafungwa alitoa agizo hilo jana wakati wa operesheni maalum ya kusaka watu wanaojihusisha na vitendo vya kihalifu vya kuzalisha na kuuza bangi kinyume na sheria.
Alisema mashamba hayo zaidi ya hekari 100 yamebainika umbali wa kilomita 30 kutoka eneo la makazi ya watu katika kijiji cha Misengele, Tarafa ya Doma.
“Natoa siku mbili kwa viongozi hawa wa jijiji kujisalimisha kituo cha polisi wenyewe ili watuambie walikuwa wapi miaka yote mambo haya yanafanyika katika maeneo yao pasipo kutoa taarifa yoyote,” alihoji Mutafungwa.
Alisema eneo hilo lililopo karibu na mto Mgeta, lipo ndani ya hifadhi ya msitu asilia wa Misengele na kuzitaka mamlaka zinazohusika na uhifadhi wa maeneo hayo kuweka uangalizi wa karibu kujua shughuli zinazoendelea.
“Eneo hili ni hifadhi hairuhusiwi mtu yeyote kufika ama kuendesha shughuli za kibinadamu, lakini katika operesheni kufuatilia taarifa za uchunguzi inabainika uwapo wa mashamba haya makubwa ilhali viongozi wa vijiji wapo na wamenyamaza,” alisema SACP Mtafungwa.
Kamanda Mtafungwa alisema katika operesheni hiyo inayoendelea watu 12 wanashikiliwa na jeshi hilo kwa tuhuma za kujihusisha na biashara haramu ya dawa za kulevya.
Ofisa Mtendaji wa Kata ya Doma, Mapambano Mkopi, aliyeshiriki katika operesheni hiyo, alisema walishindwa kutambua uwapo wa shughuli hizo kutokana na umbali toka yalipo makazi ya watu.
Chanzo: NIPASHE
Wacha watanzania tuendelee kuwa maskini. Sasa fursa yote hiyo?! Kwanza wangepata kodi. Pili dawa ya kutibu. Tatu wananchi kujikimu...bure kabisaKAMANDA wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Wilbroad Mutafungwa, atoa siku mbili kwa viongozi wa vijiji vitano mkoani humo kujisalimisha polisi baada ya operesheni iliyofanywa na jeshi hilo, kubaini hekari 100 za mashamba ya bangi.
Vijiji hivyo amevitaja kuwa ni Bunduki, Misengere, Kododo, Vinile, na Yowe, kata ya Doma, wilayani Mvomero, vinavyozunguka bonde la Mto Mgeta.
Kamanda Mtafungwa alitoa agizo hilo jana wakati wa operesheni maalum ya kusaka watu wanaojihusisha na vitendo vya kihalifu vya kuzalisha na kuuza bangi kinyume na sheria.
Alisema mashamba hayo zaidi ya hekari 100 yamebainika umbali wa kilomita 30 kutoka eneo la makazi ya watu katika kijiji cha Misengele, Tarafa ya Doma.
“Natoa siku mbili kwa viongozi hawa wa jijiji kujisalimisha kituo cha polisi wenyewe ili watuambie walikuwa wapi miaka yote mambo haya yanafanyika katika maeneo yao pasipo kutoa taarifa yoyote,” alihoji Mutafungwa.
Alisema eneo hilo lililopo karibu na mto Mgeta, lipo ndani ya hifadhi ya msitu asilia wa Misengele na kuzitaka mamlaka zinazohusika na uhifadhi wa maeneo hayo kuweka uangalizi wa karibu kujua shughuli zinazoendelea.
“Eneo hili ni hifadhi hairuhusiwi mtu yeyote kufika ama kuendesha shughuli za kibinadamu, lakini katika operesheni kufuatilia taarifa za uchunguzi inabainika uwapo wa mashamba haya makubwa ilhali viongozi wa vijiji wapo na wamenyamaza,” alisema SACP Mtafungwa.
Kamanda Mtafungwa alisema katika operesheni hiyo inayoendelea watu 12 wanashikiliwa na jeshi hilo kwa tuhuma za kujihusisha na biashara haramu ya dawa za kulevya.
Ofisa Mtendaji wa Kata ya Doma, Mapambano Mkopi, aliyeshiriki katika operesheni hiyo, alisema walishindwa kutambua uwapo wa shughuli hizo kutokana na umbali toka yalipo makazi ya watu.
Chanzo: NIPASHE
Jani Bora Zaidi [emoji23][emoji23][emoji23]Kama unamuamini Mungu kweli huwezi kuita Bangi madawa ya kulevya au haramu. Mungu kila kitu kakiumba kwa upendo, makusudi na kwamanufaa kwetu sisi wanadamu. Hata vitabu vitakatifu hamna sehemu wametaja bangi kama haramu. Naimani ipo siku atakuja kiongozi mwenye maono zaidi na kuihalalisha Bangi. LEGALIZE MARIJUANA. Asante Mungu kwa uumbaji wako wa jani bora kabisa.
Sasa kijiji kinaitwa Bunduki unadhan watu wake watakua na tabia ganiKAMANDA wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Wilbroad Mutafungwa, atoa siku mbili kwa viongozi wa vijiji vitano mkoani humo kujisalimisha polisi baada ya operesheni iliyofanywa na jeshi hilo, kubaini hekari 100 za mashamba ya bangi.
Vijiji hivyo amevitaja kuwa ni Bunduki, Misengere, Kododo, Vinile, na Yowe, kata ya Doma, wilayani Mvomero, vinavyozunguka bonde la Mto Mgeta.
Kamanda Mtafungwa alitoa agizo hilo jana wakati wa operesheni maalum ya kusaka watu wanaojihusisha na vitendo vya kihalifu vya kuzalisha na kuuza bangi kinyume na sheria.
Alisema mashamba hayo zaidi ya hekari 100 yamebainika umbali wa kilomita 30 kutoka eneo la makazi ya watu katika kijiji cha Misengele, Tarafa ya Doma.
“Natoa siku mbili kwa viongozi hawa wa jijiji kujisalimisha kituo cha polisi wenyewe ili watuambie walikuwa wapi miaka yote mambo haya yanafanyika katika maeneo yao pasipo kutoa taarifa yoyote,” alihoji Mutafungwa.
Alisema eneo hilo lililopo karibu na mto Mgeta, lipo ndani ya hifadhi ya msitu asilia wa Misengele na kuzitaka mamlaka zinazohusika na uhifadhi wa maeneo hayo kuweka uangalizi wa karibu kujua shughuli zinazoendelea.
“Eneo hili ni hifadhi hairuhusiwi mtu yeyote kufika ama kuendesha shughuli za kibinadamu, lakini katika operesheni kufuatilia taarifa za uchunguzi inabainika uwapo wa mashamba haya makubwa ilhali viongozi wa vijiji wapo na wamenyamaza,” alisema SACP Mtafungwa.
Kamanda Mtafungwa alisema katika operesheni hiyo inayoendelea watu 12 wanashikiliwa na jeshi hilo kwa tuhuma za kujihusisha na biashara haramu ya dawa za kulevya.
Ofisa Mtendaji wa Kata ya Doma, Mapambano Mkopi, aliyeshiriki katika operesheni hiyo, alisema walishindwa kutambua uwapo wa shughuli hizo kutokana na umbali toka yalipo makazi ya watu.
Chanzo: NIPASHE
Hahahah[emoji81][emoji81]Afande Sele hausiki na huo mradi [emoji848]
Ila hata majina ya vijiji yanahamasisha kuwa na mradi huo Kweli Kijiji kinaitwa BUNDUKI kingine MISENGE