OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Ngojea mapovu sasa [emoji23]Polisi Tanzania watashiriki ligi kuu bara wakiongozwa na Seleman matola wameutumia vizuri uwanja wa nyumbani wa ushirika Moshi baada ya ushindi huo wa goli mbili kwa sifuri,Magoli ya Marcel kaheza dakika ya sita na Ditram nchimbi aliyefunga dk ya 74,huu ulikua mchezo wa maandalizi kwa Yanga dhidi ya Township rollers ya Botswana ktk ligi ya mabingwa Afrika.
Kwaiyo wakishinda Yanga ni matokeo ya kupanga!!![emoji16][emoji16]Huwa nasemaga Sana kwamba kuna timu Bora Tu huko mikoani lakini siasa na upangaji wa matokeo upo kisimba na kiyanga
Hongera kocha matolaPolisi Tanzania watashiriki ligi kuu bara wakiongozwa na Seleman matola wameutumia vizuri uwanja wa nyumbani wa ushirika Moshi baada ya ushindi huo wa goli mbili kwa sifuri,Magoli ya Marcel kaheza dakika ya sita na Ditram nchimbi aliyefunga dk ya 74,huu ulikua mchezo wa maandalizi kwa Yanga dhidi ya Township rollers ya Botswana ktk ligi ya mabingwa Afrika.
Hivi madactari wanaweka MIDADI katika kundi gani la magonjwa ya akili?View attachment 1182970
Kama nawaona mlivyopata shida mkitaka magoli ongezeke.
Ni mechi ya kirafiki jamani ile.