Polisi yachomoa betri,yaipiga Yanga SC 2-0

Polisi yachomoa betri,yaipiga Yanga SC 2-0

Nimeshaedit Mtani. Najua mmepata pa kuongea. Uwanja ni wenu Mtani.

Ila nirudie tu ile ni mechi ya kirafiki na mpira una matokeo matatu pia.
Pole mtani. Kwenye migongo wazi wote wewe ni mmojawapo ninayemheshimu. Kwani unajua utani wa timu hizi bila matusi wala jazba. Mtani sio kabila hilo kwamba huwezi badili. Ohh shauri yako.
 
Nashindwa kuelewa why TFF ina chuki na yanga, mana si kwa kubebwa kule
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Back
Top Bottom