Polisi yachomoa betri,yaipiga Yanga SC 2-0

Polisi yachomoa betri,yaipiga Yanga SC 2-0

Mwinyi Zahera mwishoni mwa mchezo ameelezea vizuri. Amewapa wachezaji wa akiba nafasi ya kuonekana, lakini kwa mara ya pili mfululizo wamemwangusha.

Nina imani hawatamlaumu mwalimu watakapo sugua benchi ligi itakapoanza. Mechi ijayo na Afc Leopalds ni full kikosi. Hakuna namna. Bado nina imani na timu yangu.
Wachezaji wa akiba?
 
Zahera kaishiwa mbinu.Ana stress za kazi yao kuisha kwenye team ya taifa Congo Zaire.
 
Mechi ni ya kirafiki, kocha amewapa nafasi wachezaji wengi wa akiba ili kuona namna ya kuwatumia kwenye michezo ijayo, lakini wameendelea kumuangusha. Hakuna namna. Nina imani timu yetu itafanya vizuri kwenye michezo ijayo.
Keep hoping
 
nyie mambumbumbu misukule ya MO hiyo ni mechi ya kirafiki haina maana yoyote hata yanga wafungwe 30 bila. kuweni na akili mazezeta ya manara
Shadeeya huyu ni shabiki mwenzio hajui hata maana ya mechi za kirafiki maskiniiiii hadi huruma 😑😑😑
 
Msimu huu ndiyo game ya kwanza timu imefungwa na ni mazoezi tu
Sio mazoezi hayo wangevaa training kit hiyo ni mechi ya kirafiki buda ndio maana walivaa Jersey kamili, Man united hizi mechi za kirafiki kashinda zoteeee
 
Yanga ilipofungwa goli 1 kwa 10 na wale bodaboda wa morogoro (hopefully wote wapo hai) nilisema kikosi cha kikosi cha watani nyuma pako wazi!!!

Mpaka bodaboda kombaini wanatupia goli moja!!

Mmejionea wenyewe, subirini gharika toka kwa mnyama.
 
Back
Top Bottom