Mtani naona mpaka kuandika huwezi. Ongezeke???2 chache kwa Polisi Tanzania.?? Kocha Matola kabadili kamwene na pingu kipigo kile kile kama cha Iringa.View attachment 1182970
Kama nawaona mlivyopata shida mkitaka magoli ongezeke.
Ni mechi ya kirafiki jamani ile.