Pre GE2025 Polisi yaizuia Mkutano wa CCM kufanyika Ngorongoro

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kwamba ni Lucas Mwashambwa, Tlaatlaah au johnthebaptist ndiyo waliopiga marufuku?

Tufanye tumekubali.

Hongereni!
ni utarabu wa kawaida na wala si jambo geni kwa mamlaka za ulinzi na usalama kufanya kazi yao kulingana na hali ya kiusalama maeneo husika.

na actually sio ngorongoro tu, hata maeneo mengine nchini mambo haya hutokea,

so ,
ni vizur viongozi waaandamizi wa CCM wakafuata maelekezo na kuendelea na ratiba nyingine maeneo mengine nchini, mpaka pale itakavyoelekezwa vinginevyo kwenye eneo hilo siku za usoni, kama ambavyo inasema taarifa husika ya police 🐒

au kuna ubaya wowote ndrugo nzango...
 
Mazingaombwe tu haya ili kuwazuia Chadema wasiende kufanya mikutano huko. Kwanza hilo bumumnda Makalla nani ana muda wa kulisikiliza huko Umasaini?
 

Subirini somo la wamasai litukolee:

Wamasai wapewe maua yao kwa kuipenda nchi yao!
 
hapa ndio tunawafundisha kwa vitendo chadema habari za 4R

chama cha mapinduzi ndio darasa la siasa kote tuniani uliza mtu yoyote
 
Hizo ni fix tu za kuzuia Chadema wasifike huko
 
Kupata vichekesho kama hivi unabonyeza ngapi?
 
Akili fupi hizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…