Polisi yakamata mtandao wa mauji nchini yafukua miili 7 Dodoma na 3 singida ,watekaji wadakwa

Hongera sana Police kwa kazi HIYO. Kwa vyovyote watu hao bado kuna uwezekano wa kuwa na matukio ya aina hiyo kwa miaka ya nyuma.
  • Wahojiwe zaidi
  • Manyoni hawawezi kukosekana
Msiwapeleke mahakamani haraka
* Why wengi wa waliouawa ni miaka kati ya 23 -28?
 
Hili tulilipigia kelele sana enzi za Dkt Magufuli. Heko jeshi la polisi. Yaani hawa wahuni walimteka mpaka Mo
 
Najiuliza what is the motive behind all this, hasa wakati huu ambapo viongozi kadhaa wa Chadema wametekwa na hawajulikani walipo mpaka leo, tena zaidi ya wiki tangu kitekwa kwao?

Naamini hii ni mbinu ya polisj kutuandaa watanganyika kisaikolojia, ili siku ikifika waachiwe wale waliotekwa, isionekane kama polisi ndio walihusika kwenye kutekwa kwao.

Naandika hivi kwasababu jeshi la polisi limeshakanusha kuwashikilia mateka, akiwemo Soka aliyetekwa akienda kuchukua pikipiki yake kituo cha polisi.

Lakini wanasahau ni juzi tu walikiri wenyewe kumshikilia Kombo Mbwana kule Tanga kwa zaidi ya siku ishirini, huu mchezo wa kijinga walifundishwa na Samia, bahati mbaya sasa wameucheza vibaya ndio wanahangaika kujinasua, it's too late.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…