Mayor Quimby
JF-Expert Member
- Mar 13, 2021
- 4,950
- 10,977
Ndio haya ninayosema kwa hivyo katika watu million 60+ kundi ambalo linatakiwa kusikilizwa na polisi na kutolewa majibu taarifa zao ni CDM tu.Kombo Mbwana, mwanachama wa Chadema Tanga, alifichwa na jeshi la polisi kwa zaidi ya siku kumi, pamoja na kutafutwa vituo vyote vya polisi hawakuambiwa alipo.
Mwisho wa siku ni kamanda wa polisi mkoa wa Tanga ndie akatoa mwenyewe taarifa ya kumshikilia, ukiona kitu kimeandikwa ujue mwandishi ana uhakika wa 100% wa kile anachoandika.
This is beyond kulinda raia na mali zao, kazi nyingine ya polisi imeshathibitika ni kuilinda CCM na interest zake.
Umesoma hiyo taarifa hadi polisi kuingilia kati chanzo chake ni wananchi wa Singida kutaka kuona wanakuchukua hatua kwa yanayoendelea huko.
Ina maana hao wananchi wasingida hawastahili huduma ya polisi, kupewa taarifa upelelezi ulipofikia na hatua za mbele.
Jeshi la polisi halipo kwa ajili ya CDM tu. Yaani watu wengine wasilindwe wala kuhakikishiwa usalama wao na wakipewa taarifa kuhusu jambo husika hata kama na lenyewe ni recent crime act. Polisi wakifanya hivyo ni kupoteza kuongelewa kesi za CDM.
The world doesn’t resolve round CDM, kuna kesi luluki jeshi polisi inaangaika nazo na wahusika wanahitaji majibu pia. Na wafiwa wamateka wana uchungu na ndugu zao kama wewe ulivyo na huyo mwanachama mwenzako.