Clarity
JF-Expert Member
- Jul 6, 2010
- 1,828
- 2,637
Muda kama huu ni vyema kutengeneza matukio ili muonekane mpo kaziniHiace ilibeba majambazi 9 na box 70?
Muliro muogope Mungu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muda kama huu ni vyema kutengeneza matukio ili muonekane mpo kaziniHiace ilibeba majambazi 9 na box 70?
Muliro muogope Mungu?
Hakuna majambazi hapo, hizi ishu zipo sana kwenye magodown.kama mmewakuta na bastora + mapanga na kujiridhisha ni majambazi ~ hakuna haja ya majadiliano watangulizwe ahera tu.
Hakuna majambazi hapo, hizi ishu zipo sana kwenye magodown.
Wameuzwa hao
SAsa wao wamekubali vipi kuuzwa,eneo la tukio unafata nini. Police wanawajua wezi wote mjini. Huwezi niambia mganga awajui wachawi wote mtaaniHakuna majambazi hapo, hizi ishu zipo sana kwenye magodown.
Wameuzwa hao