Polisi yakiri changamoto za Mikopo Mtandaoni, TCRA yajiweka kando yasema "haituhusu"

Polisi wamejitoa kwenye hili kwa sababu hawawezi nufaika na rushwa hapo, vinginevyo wangekuwa wanakutana na pande zote mbili mkopaji na mkopeshaji wasingeacha hii fursa adhimu ya rushwa. .........huo ndo ukweli.
 
Nimewadhibiti vizuri sana
Hawa wachina wananijua QmmmmmQe zao
 
Hizo ni hela za bure za Wachina baada ya kufunga madubwi wameingia huku kwenye mikopo ya mtandao. Tuna kampeni maalumu za kuzila hizo hela za bure na lolote la kutufanya hawana.
Kwakweli na waadhibiwe washenzi hawa. I wonder hawa credit reference bureau wana-honor vipi taarifa wanazopelekewa na hawa wakopeshaji matapeli.. itakua wanahongwa si bure maana haiwezekani BOT waseme hawasajiliwa halafu wao CRB wafanye nao. Kuna shida mahali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…