GE2025 Polisi yaonya lugha za vitisho, uzushi, matusi na uchonganishi wakati wa Uchaguzi Mkuu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Jeshi la Polisi limeagiza wananchi wajiepushe na lugha za vitisho, matusi na uchonganishi wakati huu wa mchakato wa Uchaguzi Mkuu.

Msemaji wa Jeshi la Polisi, David Misime amesema hayo alipozungumza kwa njia ya Simu katika kipindi cha Power Breakfast kilichorushwa na Kituo cha Redio cha Clouds FM, Agosti 13,2025.

Police uchaguzi huu hamtakuwa na kazi maana vyama vyote vinavyoshiriki uchaguzi ni vyama rafiki wa CCM - vinapokea maelekezo.
Sasa sisi wananchi tumeamua kukaa pembeni maana kushiriki dhambi Mungu hapendi.
 
Nakusahihishe kidogo, hivyo vyama vinavyoshiriki siyo vyama rafimi wa CCM, hivyo ni VYAMA MAMLUKI wa CCM. CCM inashindana na vyama ilivyovitengeneza.
 
Jeshi la Polisi limeagiza wananchi wajiepushe na lugha za vitisho, matusi na uchonganishi wakati huu wa mchakato wa Uchaguzi Mkuu.

Msemaji wa Jeshi la Polisi, David Misime amesema hayo alipozungumza kwa njia ya Simu katika kipindi cha Power Breakfast kilichorushwa na Kituo cha Redio cha Clouds FM, Agosti 13,2025.

asa mbona wenyewe wanatutisha
 
Wameanza kusaidia no reforms no election bila kutarajia.Hawajui watatufanya kutokutoka kupiga siku ya uchaguzi.
 
Back
Top Bottom