Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Police uchaguzi huu hamtakuwa na kazi maana vyama vyote vinavyoshiriki uchaguzi ni vyama rafiki wa CCM - vinapokea maelekezo.
Sasa sisi wananchi tumeamua kukaa pembeni maana kushiriki dhambi Mungu hapendi.
asa mbona wenyewe wanatutishaJeshi la Polisi limeagiza wananchi wajiepushe na lugha za vitisho, matusi na uchonganishi wakati huu wa mchakato wa Uchaguzi Mkuu.
Msemaji wa Jeshi la Polisi, David Misime amesema hayo alipozungumza kwa njia ya Simu katika kipindi cha Power Breakfast kilichorushwa na Kituo cha Redio cha Clouds FM, Agosti 13,2025.
Wameanza kusaidia no reforms no election bila kutarajia.Hawajui watatufanya kutokutoka kupiga siku ya uchaguzi.Jeshi la Polisi limeagiza wananchi wajiepushe na lugha za vitisho, matusi na uchonganishi wakati huu wa mchakato wa Uchaguzi Mkuu.
Msemaji wa Jeshi la Polisi, David Misime amesema hayo alipozungumza kwa njia ya Simu katika kipindi cha Power Breakfast kilichorushwa na Kituo cha Redio cha Clouds FM, Agosti 13,2025.