Pre GE2025 Polisi yapiga marufuku maandamano ya CHADEMA yasema ni haramu. Yasema chama hicho kimekuwa kikipanga mikakati ya kuchochea vurugu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Chadema,hekima ni kusubiri upelelezi ukamilike, muone nini kimeletwa mezani, tukijadili tuone!
Lazima uwe mjinga na ounguani hasa kuamini kuwa mmwovu anaweza kujipeleleza mwenyewe.
 
Comment ya kiwendawazimu hasa!

Hawa ndio watu waliostahili kuwepo Mirembe wanapata matibabu, wao wanakuja kupoteza mida JF.

Jamani JF ni kwaajili ya watu walio wazima wa akili, ninyi wagonjwa wa akili, hapa siyo mahali penu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…