Polisi yapiga marufuku maandamano ya kwenda Ikulu ya Magogoni, Dar es Salaam, Jumatatu Juni 19, 2023

Polisi yapiga marufuku maandamano ya kwenda Ikulu ya Magogoni, Dar es Salaam, Jumatatu Juni 19, 2023

no comments .mapinduzi.daima na wasithubutu.kuzuia.kwa silaha za moto
 
Hivi kwanini huwa tunang'ang'ania njia ya maandamano hali tukijua kuwa ni jambo ambalo huwa linafeli lazima polisi watazuia tu?
 
Si tulikubaliana kwamba saizi Uhuru umejaa mpaka umemwagika na mpiga Demo +Kratos hayupo tena kantri imeanza upya? Kwanini tena sauti za watu zinazibwa au Kamanda Mulilo huwa hamsikilizi Hangaya vizuri
Samia ni dikteta mbaya huenda kuliko mtangulizi wake
 
Wanao taka kuandamana, msipende kushindana na Polisi, kwanza kuandamana kwenda Ikulu ni kosa kubwa sana kiusalama, tunajuaje kuna agenda ya siri kumdhuru Mh. Rais na makazi yake..

Hili sio suala la mzaha, enyi waandamanaji kama mnajipenda, wasikilizeni polisi, kiongozi wenu ameitwa na polisi hataki, hataki mazungumzo, sasa kitakacho tokea, mtu asije lia yeyote yule, nakumbusha Tanzania sio Sudan, sio Kenya, sio CAR, sio DRC, sio Somalia, sio Libya, sio Ethiopia, sio Yemen, sio Msumbiji, Tanzania ni Tanzania, na Amani na Utulivu wake unalindwa kwa nguvu zote na hali yoyote ile, mtu yeyote anayetaka kuharibu Amani yetu, utulivu wetu, yeye atakutana na mkono wa dola.
 
Maandamano ya amani ni haki ya Kikatiba kwanini Mapolisi wayapige marufuku?

Tuna polisi wa hovyo sana, eti kuathiri wengine. Nani alyemuambia hayo maandamano kila mtu atashiriki? Hata wakiwa 10 waachwe wafanye maandamano yao.

Hizi ni fursa za kumuonesha mama namna gani uhuru ulivyo.
 
Back
Top Bottom