Wanao taka kuandamana, msipende kushindana na Polisi, kwanza kuandamana kwenda Ikulu ni kosa kubwa sana kiusalama, tunajuaje kuna agenda ya siri kumdhuru Mh. Rais na makazi yake..
Hili sio suala la mzaha, enyi waandamanaji kama mnajipenda, wasikilizeni polisi, kiongozi wenu ameitwa na polisi hataki, hataki mazungumzo, sasa kitakacho tokea, mtu asije lia yeyote yule, nakumbusha Tanzania sio Sudan, sio Kenya, sio CAR, sio DRC, sio Somalia, sio Libya, sio Ethiopia, sio Yemen, sio Msumbiji, Tanzania ni Tanzania, na Amani na Utulivu wake unalindwa kwa nguvu zote na hali yoyote ile, mtu yeyote anayetaka kuharibu Amani yetu, utulivu wetu, yeye atakutana na mkono wa dola.