Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamevurugwa hatari SANA
Mpaka Mwenyekiti wa CCM wa Wilaya husika aruhusuDemokrasia ya kubembelezana.
Iko siku tutaambiwa tuvae Hijabu ndio turuhusiwe kufanya mkutano.Mpaka Mwenyekiti wa CCM wa Wilaya husika aruhusu
Maza amewageuza wa bara kuwa ni mateka wa ZanzibarIko siku tutaambiwa tuvae Hijabu ndio turuhusiwe kufanya mkutano.
Acha kuwavunjia heshima Jeshi la kikoloni!Jeshi la kikoloni haswa
Kabisa aseeAcha kuwavunjia heshima Jeshi la kikoloni!
1. Kama mapolisi wa kikoloni wangekuwa wabaya, akina Nyerere wangepotezwa au kufungwa kwa kosa la ugaidi wa mchongo
2. Kama Wakoloni wangekuwa wakatili, akina Nyerere wasingeendesha shughuli za kisiasa kwa amani!
Wewe!! Jeshi la kikoloni lilikuwa na ethics, lilikuwa na nidhamu. Utalilinganisha jeshi la Polisi la Muingereza au Mjerumani, haya majambazi yetu! Nyerere alifanya siasa zake wakati huo bila ya bugdha za kihayawani kama zinazoletwa na haya mashetani tunayoyalipa mishahara kutoka kwenye kodi zetu.Jeshi la kikoloni haswa