bin haroub
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 1,662
- 812
Pole sanaACT ni CCM B
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole sanaACT ni CCM B
HakikaWewe!! Jeshi la kikoloni lilikuwa na ethics, lilikuwa na nidhamu. Utalilinganisha jeshi la Polisi la Muingereza au Mjerumani, haya majambazi yetu! Nyerere alifanya siasa zake wakati huo bila ya bugdha za kihayawani kama zinazoletwa na haya mashetani tunayoyalipa mishahara kutoka kwenye kodi zetu.