Polisi yaruhusu mkutano wa ACT uliopangwa kufanyika Mbagala

Kabisa asee
 
Jeshi la kikoloni haswa
Wewe!! Jeshi la kikoloni lilikuwa na ethics, lilikuwa na nidhamu. Utalilinganisha jeshi la Polisi la Muingereza au Mjerumani, haya majambazi yetu! Nyerere alifanya siasa zake wakati huo bila ya bugdha za kihayawani kama zinazoletwa na haya mashetani tunayoyalipa mishahara kutoka kwenye kodi zetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…