Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
NakaziaWangenyoosha tu lugha, kwamba wameshukili watu 6 haada ya tamko na Bi mkubwa.
Anyway......
Hao vijana wana umri gani..??
Watoto wana haki zaoWataje maiina yao
Wataje umri wao
Wataje mahali wanapotokea ili wananchi wa maeneo hayo watoe ushirikiano.
Na ionekane wanapelekwa mahakamani.
Vinginevyo ni made up story tu kuwa wamewashikilia
Watoto wana haki zao
wange katwa miguu ili familia zao zije kuomba msaada kwa serikali jinsi ya kuwalea/kuwa tunza..Wataje maiina yao
Wataje umri wao
Wataje mahali wanapotokea ili wananchi wa maeneo hayo watoe ushirikiano.
Na ionekane wanapelekwa mahakamani.
Vinginevyo ni made up story tu kuwa wamewashikilia
haki za kupigwa, kusikilizwa, kunyanyasa wengine pamoja na kuvunja sheria za nchiWatoto wana haki zao
Kuna matukio kama hayo wakiyafanya haki zinapoteaWatoto wana haki zao
Samahani unamaanisha bibi mikopo?Wangenyoosha tu lugha, kwamba wameshukili watu 6 haada ya tamko na Bi mkubwa.
Anyway......
Hao vijana wana umri gani..??
Mmeshaanza! Kama mmetumwa vile....Wakati wao wanaua mpo kimya,au nyie wadhamini.Watoto wana haki zao
Mkuu..... mie sitaki ugomvi na siri kali..😂🤣Samahani unamaanisha bibi mikopo?
Wanatuletea ukanjanja hapa.Wataje maiina yao
Wataje umri wao
Wataje mahali wanapotokea ili wananchi wa maeneo hayo watoe ushirikiano.
Na ionekane wanapelekwa mahakamani.
Vinginevyo ni made up story tu kuwa wamewashikilia
Tafadhali jeshi letu la polisi, tunawaomba muwachome moto hao watoto/watuhumiwa ili liwe fundisho kwa wengineSaa chache tangu kutoka kwa tukio la watu kujeruhiwa kwa mapanga na kikundi kinachodaiwa kuwa ni 'Panya Road' katika eneo la Kunduchi Mtongani Jijini Dar es Salaam, watu sita wanashikiliwa na Jeshi la Polisi.
Kamanda wa Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Muliro Jumanne Muliro amezungumza hayo leo Mei 2, 2022 akieleza kuwa wanawashikilia watu hao kwa mahojiano ili waeleze walipo wenzao na wanapeleka wapi vitu hivyo baada ya kuiba.
Amesema watuhumiwa ni vijana wadogo ambao waliamua kuacha shule na kujihusisha na matumizi ya dawa za kulevya aina ya bangi.