Polisi yatangaza kuwashikiliwa watuhumiwa 6 wa Panya Road baada ya tukio la Kunduchi

Polisi yatangaza kuwashikiliwa watuhumiwa 6 wa Panya Road baada ya tukio la Kunduchi

Wangenyoosha tu lugha, kwamba wameshikilia watu 6 haada ya tamko na Bi mkubwa.
Anyway......
Hao vijana wana umri gani..??
Kuna aina hizi panya (wezi) kwa binadamu:
1. Panya road - vibaka
2. Panya kalamu/book - wapigaji serikalini
3. Panya poti - polisi

Panya wote hao ni wabaya. Lakini namba 2 na 3 ni wabaya zaidi!
 
Kuna aina hizi wezi (panya) kwa binadamu:
1. Panya road - vibaka
2. Panya kalamu/book - wapigaji serikalini
3. Panya poti - polisi

Panya wote hao ni wabaya. Lakini namba 2 na 3 ni wabaya zaidi!
Atonga mayot ema iyombo go koth....🤣
 
Hawa sio wale 6 waliouawa jana kweli?
 
Back
Top Bottom