Kunguru wa Manzese JF-Expert Member Joined Apr 20, 2016 Posts 12,729 Reaction score 18,119 May 3, 2022 #21 Paka mda huu bado hawajafa tu
Mfikirishi JF-Expert Member Joined Jan 16, 2012 Posts 8,939 Reaction score 10,403 May 8, 2022 #22 Ushimen said: Wangenyoosha tu lugha, kwamba wameshikilia watu 6 haada ya tamko na Bi mkubwa. Anyway...... Hao vijana wana umri gani..?? Click to expand... Kuna aina hizi panya (wezi) kwa binadamu: 1. Panya road - vibaka 2. Panya kalamu/book - wapigaji serikalini 3. Panya poti - polisi Panya wote hao ni wabaya. Lakini namba 2 na 3 ni wabaya zaidi!
Ushimen said: Wangenyoosha tu lugha, kwamba wameshikilia watu 6 haada ya tamko na Bi mkubwa. Anyway...... Hao vijana wana umri gani..?? Click to expand... Kuna aina hizi panya (wezi) kwa binadamu: 1. Panya road - vibaka 2. Panya kalamu/book - wapigaji serikalini 3. Panya poti - polisi Panya wote hao ni wabaya. Lakini namba 2 na 3 ni wabaya zaidi!
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 301,221 Reaction score 1,172,274 May 8, 2022 #23 Daah hawa watoto
Ushimen JF-Expert Member Joined Oct 24, 2012 Posts 40,828 Reaction score 99,523 May 8, 2022 #24 Jp Omuga said: Kuna aina hizi wezi (panya) kwa binadamu: 1. Panya road - vibaka 2. Panya kalamu/book - wapigaji serikalini 3. Panya poti - polisi Panya wote hao ni wabaya. Lakini namba 2 na 3 ni wabaya zaidi! Click to expand... Atonga mayot ema iyombo go koth....🤣
Jp Omuga said: Kuna aina hizi wezi (panya) kwa binadamu: 1. Panya road - vibaka 2. Panya kalamu/book - wapigaji serikalini 3. Panya poti - polisi Panya wote hao ni wabaya. Lakini namba 2 na 3 ni wabaya zaidi! Click to expand... Atonga mayot ema iyombo go koth....🤣
Dabil JF-Expert Member Joined Sep 30, 2021 Posts 6,823 Reaction score 15,293 Sep 19, 2022 #25 Hawa sio wale 6 waliouawa jana kweli?