Polisi yavamia kikao cha ndani cha CHADEMA jimbo la Segerea, Patrick Asenga na wenzake wakamatwa

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Hii ndio taarifa ya sasa kutoka Dar es Salaam, kwa sasa Mwendo ni ule ule wa kuhakikisha Haki za kisiasa za CCM kujibu hoja za wapinzani zinaporwa na Jeshi la polisi , ambalo sasa ni dhahiri limechukua sehemu ya CCM kwenye siasa za Tanzania , hasa baada ya CCM yenyewe kuishiwa hoja za utetezi Kabisa kabisa .

BREAKING_NEWS.%0AJeshi_la_Polisi_Muda_huu_wavamia_Kikao_Cha_Ndani_Jimbo_Segerea_na_Kukamata_Wa...jpg

Updates
=======

instagram(2).jpg
 
Hivi huko Segerea hakuna vibaka, wezi au majambazi. Je hicho kikao ilikua ni kwaajili ya kuvuruga amani na utulivu.

Hao waliokamatwa wametenda kosa gani, maana tunaona CCM wanafanya mikutano mpaka ikulu lakina hawabugudhiwi
 
Hii ndio taarifa ya sasa kutoka Dar es Salaam, kwa sasa Mwendo ni ule ule wa kuhakikisha Haki za kisiasa za ccm kujibu hoja za wapinzani zinaporwa na Jeshi la polisi , ambalo sasa ni dhahiri limechukua sehemu ya ccm kwenye siasa za Tanzania , hasa baada ya ccm yenyewe kuishiwa hoja za utetezi Kabisa kabisa .

View attachment 1878915
Hapo CCM meno yote nje wakichekelea uhalifu unaofanywa na POLISI, hivi Tanzania ipo katika vita? Tumekuwa tukiambiwa Hali ni shwari na sisi ndiyo kisiwa cha amani duniani. Matendo ya Jeshi letu ni uvunjifu wa dhahiri wa Haki za RAIA kujumuika (CHADEMA) ndiyo wahanga number 1.

Bila kudai Katiba ya Wananchi tumekwisha,tutalia ukali kila leo.
 
Hivi huko segerea hakuna vibaka, wezi au majambazi. Je hicho kikao ilikua ni kwaajili ya kuvuruga amani na utulivu.
Hao waliokamatwa wametenda kosa gani, maana tunaona CCM wanafanya mikutano mpaka ikulu lakina hawabugudhiwi
Ili polisi apandishwe cheo au aongezewe marupurupu ni lazima apambane na chadema kwanza
 
Hii ndio taarifa ya sasa kutoka Dar es Salaam, kwa sasa Mwendo ni ule ule wa kuhakikisha Haki za kisiasa za ccm kujibu hoja za wapinzani zinaporwa na Jeshi la polisi , ambalo sasa ni dhahiri limechukua sehemu ya ccm kwenye siasa za Tanzania , hasa baada ya ccm yenyewe kuishiwa hoja za utetezi Kabisa kabisa .

View attachment 1878915
Anaupiga mwingi sana kuzima legacy ya Magufuli
 
Hii ndio taarifa ya sasa kutoka Dar es Salaam, kwa sasa Mwendo ni ule ule wa kuhakikisha Haki za kisiasa za ccm kujibu hoja za wapinzani zinaporwa na Jeshi la polisi , ambalo sasa ni dhahiri limechukua sehemu ya ccm kwenye siasa za Tanzania , hasa baada ya ccm yenyewe kuishiwa hoja za utetezi Kabisa kabisa .

View attachment 1878915
AMANI YA NCHI NI MUHIMU SANA KULIKO wafuasi wa Chadema, kamwe tusikubali wahuni wachache wakajaribu kuichezea Amani yetu.

yeyote atakaye jiona ana uhalali wa kuchezea amani yetu ana stahili au wanastahili kuchakazwa vilivyo ili iwe fundisho kwa wengine.
 
Jeshi letu linapaswa kufuatilia nyenendo za wafuasi wa chadema kwa karibu zaidi usiku na mchana maana baadhi yao wana chembe chembe za UGAIDI.
 
Back
Top Bottom