Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Kwa kweli anaupiga mwingi sana, ila tatizo anaupiga huku kavaa msuli!Hongera Rais Samia!
Endelea kuupiga mwingi.
Hapo CCM meno yote nje wakichekelea uhalifu unaofanywa na POLISI, hivi Tanzania ipo katika vita? Tumekuwa tukiambiwa Hali ni shwari na sisi ndiyo kisiwa cha amani duniani. Matendo ya Jeshi letu ni uvunjifu wa dhahiri wa Haki za RAIA kujumuika (CHADEMA) ndiyo wahanga number 1.Hii ndio taarifa ya sasa kutoka Dar es Salaam, kwa sasa Mwendo ni ule ule wa kuhakikisha Haki za kisiasa za ccm kujibu hoja za wapinzani zinaporwa na Jeshi la polisi , ambalo sasa ni dhahiri limechukua sehemu ya ccm kwenye siasa za Tanzania , hasa baada ya ccm yenyewe kuishiwa hoja za utetezi Kabisa kabisa .
View attachment 1878915
Ili polisi apandishwe cheo au aongezewe marupurupu ni lazima apambane na chadema kwanzaHivi huko segerea hakuna vibaka, wezi au majambazi. Je hicho kikao ilikua ni kwaajili ya kuvuruga amani na utulivu.
Hao waliokamatwa wametenda kosa gani, maana tunaona CCM wanafanya mikutano mpaka ikulu lakina hawabugudhiwi
Pia ingependeza POLICE Tanzania wakavaa Madera za kijani/njano.Wangependezea sana.CCM imefika mwisho.
tunawajua hadi majina ya baba zaoKumbe wale Chadema wa CCM waliandaliwa na CCM kumtaka Mbowe aachie madaraka, maana walifanya mikutano bila kukamatwa.
Segerea ni makazi ya majambazi wastaafu. Active Majambazi wako Kinyerezi mpaka Mfuru.Hivi huko segerea hakuna vibaka, wezi au majambazi. Je hicho kikao ilikua ni kwaajili ya kuvuruga amani na utulivu.
Hao waliokamatwa wametenda kosa gani, maana tunaona CCM wanafanya mikutano mpaka ikulu lakina hawabugudhiwi
Anaupiga mwingi sana kuzima legacy ya MagufuliHii ndio taarifa ya sasa kutoka Dar es Salaam, kwa sasa Mwendo ni ule ule wa kuhakikisha Haki za kisiasa za ccm kujibu hoja za wapinzani zinaporwa na Jeshi la polisi , ambalo sasa ni dhahiri limechukua sehemu ya ccm kwenye siasa za Tanzania , hasa baada ya ccm yenyewe kuishiwa hoja za utetezi Kabisa kabisa .
View attachment 1878915
Mbona wanitisha....😳Segerea ni makazi ya majambazi wastaafu. Active Majambazi wako Kinyerezi mpaka Mfuru.
AMANI YA NCHI NI MUHIMU SANA KULIKO wafuasi wa Chadema, kamwe tusikubali wahuni wachache wakajaribu kuichezea Amani yetu.Hii ndio taarifa ya sasa kutoka Dar es Salaam, kwa sasa Mwendo ni ule ule wa kuhakikisha Haki za kisiasa za ccm kujibu hoja za wapinzani zinaporwa na Jeshi la polisi , ambalo sasa ni dhahiri limechukua sehemu ya ccm kwenye siasa za Tanzania , hasa baada ya ccm yenyewe kuishiwa hoja za utetezi Kabisa kabisa .
View attachment 1878915
polisi wanatumikishwa tu , hata wao wenyewe hawajui kinachowafanya wageuke wanyamaChadema na mwendo wa kupandikiza CHUKI.....
Hamtuelezi ni kwanini POLISI wamefanya hivyo....