Polisi yavamia kikao cha ndani cha CHADEMA jimbo la Segerea, Patrick Asenga na wenzake wakamatwa

amani imechezewaje ?
 
Segerea ni makazi ya majambazi wastaafu. Active Majambazi wako Kinyerezi mpaka Mfuru.
Hizo rasilimali wanazotumia polisi kuzuia mikutano ya CHADEMA ndio zinazoongeza matumizi ya kawaida ya serikali badala ya matumizi ya maendeleo maana utakuta polisi hawana hata nyumba za kuishi au wastaafu wao hawalipwi mafao yao kwa wakati kumbe hiyo pesa Inatumika kugharamia upuuzi Kama huo
 
Natoa pongezi kwa jeshi letu, CHADOMO hawapati tena symphacy yetu watanzania watanzania wengi wameshtuka kwa sasa hawaendesheki kama manyumbu, WAMESHAELEWA MWANASIASA KUKOMAND WATU ILI WATEKELEZE KUSUDIO LAKE NA BAADAE YEYE NDIO APATE MANUFAA WAMESHALIELEWA HILO.
 
Ccm kwisha kabisa
 
Hivi wewe hujiulizi tu mbona NCCR hawana vurugu??

Najua jibu utakalokuja nalo ni NCCR sio wapinzani.

Ila serious mkuu, jiulize why kila siku CDM??
 
Polisi hawana kazi zaidi ya kupambana na vyama vya siasa huku likiacha watu wanalipishwa hela za sungu sungu eti kisa vibaka wapo mtaani....

Ni upumbavu huu. Hizo nguvu wangeelekeza kwenye wajibu wao, wala hii mizigo wanayopewa wananchi ya kujilipia ulinzi isingekuwepo
 
 
Mbona unazungumzia vitu vikubwa, sare zenyewe ni majanga. Unakumbuka Wakati flani tuliambiwa Kuna watu wanaazimana uniform.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…