Polisi yavamia kikao cha ndani cha CHADEMA jimbo la Segerea, Patrick Asenga na wenzake wakamatwa

Nadhani Kuna mambo mawili moja system inataka kuimaliza ccm kisayansi kwa kuifanya ichukiwe au watu wanamfix mama taratibu Kama walivyomfix magu naamini haya yanatokea kwa makusudi maalumu.
 
wenzako wote waliotaka chadema ife wamezikwa wao
Me mbona bado napumua?
Chadema haifanyi siasa, bali Chadema wanafanya harakati, ni bora kife ili tupate chama cha upinzani makini kitacho fanya siasa safi na kupelekea Wananchi kukikubali.

Nb, CCM siwaungi mkono, lakini Chadema sio chama cha upinzani kinacho kuunganisha wapinzani wote, nibora kife ili kizaliwe chama kingine kitacho tuunganisha wa Tanzania wote bila kujali ukanda.
 
Ili polisi apandishwe cheo au aongezewe marupurupu ni lazima apambane na chadema kwanza
Hii nchi Jeshi la Polisi linatumika vibaya na miccm, ubwa wakubwa nyie
No, siyo hivo. Hii ni nchi ya Demokrasia ya Vyama vingi. Kila miaka 5 vyama hupambanisha Ilani zao, Chama Tawala kinachukua serkali, yaani Ikulu, Rais, Polisi, nk. Kwa sasa ni CCM, subirini 2025
 
No, siyo hivo. Hii ni nchi ya Demokrasia ya Vyama vingi. Kila miaka 5 vyama hupambanisha Ilani zao, Chama Tawala kinachukua serkali, yaani Ikulu, Rais, Polisi, nk. Kwa sasa ni CCM, subirini 2025
Nine....samahani
 
No, siyo hivo. Hii ni nchi ya Demokrasia ya Vyama vingi. Kila miaka 5 vyama hupambanisha Ilani zao, Chama Tawala kinachukua serkali, yaani Ikulu, Rais, Polisi, nk. Kwa sasa ni CCM, subirini 2025
Very poor !
 
Segerea, Mwanza, Mbeya, KKKT, Iringa, Usukumani. Why not Moshi or KIA or Kibong'oto or Himo or Kibosho? Kwa Mbowe tunatangaziwa msiba wa kaka yake tusiende kuwaombea tujilinde na Covid, lakini Mwanza na Lindi na Mwanjela twende tu wache wafe. CHADEMA kweli wanajielewa wanajithamini, kwao wanataka amani.
 
Safi sana, magaidi lazima wazuiwe kabla hawajalilpua visima vya mafuta na kuuwa viongozi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…