Polisi Zanzibar yakiri kumshikilia Naibu Katibu Mkuu wa ACT-Wazalendo (Nassor Mazrui) na vijana wengine 33 wa Chama hicho

Suley2019

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2019
Posts
2,203
Reaction score
5,610
Jeshi la Polisi la Zanzibar limekiri kumshikilia Katibu Mkuu wa chama cha ACT Wazalendo Bw. Nassor Mazrui na vijana wengine 33 wakiwatuhumu kuwa na mabomu na kushiriki harakati mbalimbali za kuingilia mchakato wa Uchaguzi usiku wa tarehe 28/10/ 2020





 
Mchuma janga ula na wa kwao, hao vijana ndio hivyo tena....wanaenda kula ugali wa bure huku Maalim Seif akiendelea kula penshen yake na marupurupu kutoka serikalini, na si ajabu akapewa ile nafasi yake ya makamu wa kwanza wa rais, vijana acheni kutumika kama mipira ya kiume...!
 
ACT Wazalendo kama ilivyo Chadema imejaa Maafisa Vipenyo wengi sana!

Mazrui ndio Engine ya ACT Visiwani miaka ya karibuni, Maalim amekuwa kama bomba la moshi la kutolea hewa chafu baada ta engine kuchakata fuel

Baada ya kukamatwa Mazrui mikakati yote ya ACT ikiwemo ya ki stratejia inekufa kwa muda hadi aachiwe na Maalim katepeta kabisa

Nmewahi kufika kwake Mazrui kule Bububu Znz (alitupa Mkopo kwny kikundi chetu usio na riba wala dhamana) ukiachana na mambo ya Siasa ni tajiri Muungwana sana ambae kwenye Compound yake ana nyumba nyingi ambazo wanakaa wenye mahitajo wanaokula na kunywa kwa gharama zake bila ya kujali ana undugu nao au ujamaa wa karibu

Watu wake wa karibu wangemshauri aachane na Wanasiasa wahuni
 

"Ula?" - spoken like Mr. Delicious.

Mr. Still birth, you're read, loud and clear.

Thank you very much.
 
Wanasiasa wahuni wako huko ccm wakina Gwajima.
 
Mbona mwanzo mlikanusha kwamba hamna taarifa zake, mnasubiri mpaka mataifa ya nje yaseme ndio mtekeleze, mwaka huu mnao hao mnaowaita mabeberu mpaka muombe poo
 
Waache waigize tuwaonyeshe maigizo yao yatakapowapeleka, hii chuki waliyoipandikiza ghadhabu imefika kooni na Wallah naapa wajiandae jumatatu vyuma vinaingia dodoma, tutawapiga pigo kuu
 
We ni mjinga sana, unatakiwa uelimishwe
 
Baada ya siku 3 tatu ndio tunapewa taarifa ! Why
Tumehangaika kila kituo cha police mkatuambia hamuna taarifa zake, sasa alikuwa wapi muda huo wote ?
Baada ya kuona jumuiya za kimataifa kupiga kelele wachiwe ndio mnakuja juu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…