Suley2019
JF-Expert Member
- Oct 7, 2019
- 2,203
- 5,610
Jeshi la Polisi la Zanzibar limekiri kumshikilia Katibu Mkuu wa chama cha ACT Wazalendo Bw. Nassor Mazrui na vijana wengine 33 wakiwatuhumu kuwa na mabomu na kushiriki harakati mbalimbali za kuingilia mchakato wa Uchaguzi usiku wa tarehe 28/10/ 2020