Mkono Mmoja
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 3,359
- 6,568
Naunga mkono hoja ...ovaBaada ya Mahakama kutenda haki na kuwavua uongozi waliodhulumu Timu na kujimikisha kinyume cha sheria, Viongozi hao Mamluki wanatangaza kuitisha mkutano na Waandishi wa habari kwenye makao makuu ya Yanga ili kupotosha jamii.
Kwa vile hawa wameenguliwa na Mahakama kihalali hatuoni uhalali wao wa kuitisha mikutano na Waandishi wa habari na kupiga porojo, Wazuiliwe na kulazimishwa kukabidhi funguo za milango tu.
Mungu Wabariki Wazee.
PIA SOMA
- Millard: Mahakama yaamuru Eng. Hersi aachie ngazi Yanga!
- Yanga: Mkutano na wanahabari tar 17.07.204
View attachment 3044291
Kwa nini mmepora timu kutoka kwa wanachama??Mbona unakua mjinga kiasi hichi. Unaleta siasa zako za ccm na chadema kwenye soka. Hao wazee wakalee wajukuu hawawezi ifanya yanga ikawa team ya heshima kama ilivyo sasa, just some few desperate oldies
SahihiKule Ulaya sio jukumu la aliyeshinda kesi kwenda mwenyewe kubadilisha makufuli. Anakwenda Sherif Deputy, Msaidizi Mrakibu Mwandamizi wa Mkuu wa Polisi Wilaya.
Huku kwetu eti wazee waende wenyewe kukaza hukumu. Kwanza Ulaya hukumu haikazwi. Manake hailegei, imekaza tangia hapo ilipotolewa.
Makolo acheni ushabiki, huko kwenu ndio katiba imesiginwa kabisa,🤣🤣,mtu mmoja anaamua lolote hata bila ridhaa ya wenye chama😡 mara kampuni mara katibaBaada ya Mahakama kutenda haki na kuwavua uongozi waliodhulumu Timu na kujimikisha kinyume cha sheria, Viongozi hao Mamluki wanatangaza kuitisha mkutano na Waandishi wa habari kwenye makao makuu ya Yanga ili kupotosha jamii.
Kwa vile hawa wameenguliwa na Mahakama kihalali hatuoni uhalali wao wa kuitisha mikutano na Waandishi wa habari na kupiga porojo, Wazuiliwe na kulazimishwa kukabidhi funguo za milango tu.
Mungu Wabariki Wazee.
PIA SOMA
- Millard: Mahakama yaamuru Eng. Hersi aachie ngazi Yanga!
- Yanga: Mkutano na wanahabari tar 17.07.204
View attachment 3044291
CUF ❌❌❌Pia anatakiwa achie ile nafasi nyingine aliyopewa CUF...nilijua tu maana huyu Hersi anatabia za kujipendekeza na umbea..mnakumbuka alienda kumuambia rais wa FIFA eti kaifunga Simba sc tano..huyu jamaa anatabia za kike na za kichawi ni mkxndu aisee
Hawa wazee ndiyo wanazozifanya hizi club ziishi kizamani! ni muda sasa serikali itoe tamko
Hizihizi mahakama na polisi mnaowatuhumu kutokutenda haki siku zote?Waende mahakamani
Hio style inaitwa "Sina Akili" kwa hio usije ukaiga bila kujua unanyoa "Denge" maana yake "Sina Akili"Hii style yako ya nywele kwenye avatar picha utadhani ndege joni.
Kumbe ni CUF na sio ACT ?Pia anatakiwa achie ile nafasi nyingine aliyopewa CUF...
Jana si mlikua mnawarushia Mawe leo mnawaoshea Gari barabarani kwamba wanafanya kazi nzuri hawajawapiga marungu?Polisi fanyeni kazi yenu jamani
Tuna imani na nyie.
Siasa za kishamba kila siku tunaziongelea. Acha watu wapate uhuru wa kutoa Mawazo na Maoni yao.Baada ya Mahakama kutenda haki na kuwavua uongozi waliodhulumu Timu na kujimikisha kinyume cha sheria, Viongozi hao Mamluki wanatangaza kuitisha mkutano na Waandishi wa habari kwenye makao makuu ya Yanga ili kupotosha jamii.
Kwa vile hawa wameenguliwa na Mahakama kihalali hatuoni uhalali wao wa kuitisha mikutano na Waandishi wa habari na kupiga porojo, Wazuiliwe na kulazimishwa kukabidhi funguo za milango tu.
Mungu Wabariki Wazee.
PIA SOMA
- Millard: Mahakama yaamuru Eng. Hersi aachie ngazi Yanga!
- Yanga: Mkutano na wanahabari tar 17.07.204
View attachment 3044291
Kadhulumiwa nani?...... na kadhulumiwa nini?Unashabikia dhuluma ?
Habari za Chadema na Mbowe ndio unazozielewa huku hujui lolote mbumbumbu.Baada ya Mahakama kutenda haki na kuwavua uongozi waliodhulumu Timu na kujimikisha kinyume cha sheria, Viongozi hao Mamluki wanatangaza kuitisha mkutano na Waandishi wa habari kwenye makao makuu ya Yanga ili kupotosha jamii.