Polisi zuieni Mkutano ulioitishwa na viongozi wa Yanga waliovuliwa uongozi na Mahakama, hawatambuliki kama viongozi halali

Baada ya Mahakama kutenda haki na kuwavua uongozi waliodhulumu Timu na kujimikisha kinyume cha sheria, Viongozi hao Mamluki wanatangaza kuitisha mkutano na Waandishi wa habari kwenye makao makuu ya Yanga ili kupotosha jamii.

Kwa vile hawa wameenguliwa na Mahakama kihalali hatuoni uhalali wao wa kuitisha mikutano na Waandishi wa habari na kupiga porojo, Wazuiliwe na kulazimishwa kukabidhi funguo za milango tu.

Mungu Wabariki Wazee.

PIA SOMA
- Millard: Mahakama yaamuru Eng. Hersi aachie ngazi Yanga!

- Yanga: Mkutano na wanahabari tar 17.07.204

View attachment 3044291
Naunga mkono hoja ...ova
 
Kule Ulaya sio jukumu la aliyeshinda kesi kwenda mwenyewe kubadilisha makufuli. Anakwenda Sherif Deputy, Msaidizi Mrakibu Mwandamizi wa Mkuu wa Polisi Wilaya.

Huku kwetu eti wazee waende wenyewe kukaza hukumu. Kwanza Ulaya hukumu haikazwi. Manake hailegei, imekaza tangia hapo ilipotolewa.
Sahihi
 
Wazee wakabie huko huko juu.....wawachezee nusu uwanja......😂😂😂😂😂

1002262086.jpg
 
Baada ya Mahakama kutenda haki na kuwavua uongozi waliodhulumu Timu na kujimikisha kinyume cha sheria, Viongozi hao Mamluki wanatangaza kuitisha mkutano na Waandishi wa habari kwenye makao makuu ya Yanga ili kupotosha jamii.

Kwa vile hawa wameenguliwa na Mahakama kihalali hatuoni uhalali wao wa kuitisha mikutano na Waandishi wa habari na kupiga porojo, Wazuiliwe na kulazimishwa kukabidhi funguo za milango tu.

Mungu Wabariki Wazee.

PIA SOMA
- Millard: Mahakama yaamuru Eng. Hersi aachie ngazi Yanga!

- Yanga: Mkutano na wanahabari tar 17.07.204

View attachment 3044291
Makolo acheni ushabiki, huko kwenu ndio katiba imesiginwa kabisa,🤣🤣,mtu mmoja anaamua lolote hata bila ridhaa ya wenye chama😡 mara kampuni mara katiba
 
Pia anatakiwa achie ile nafasi nyingine aliyopewa CUF...nilijua tu maana huyu Hersi anatabia za kujipendekeza na umbea..mnakumbuka alienda kumuambia rais wa FIFA eti kaifunga Simba sc tano..huyu jamaa anatabia za kike na za kichawi ni mkxndu aisee
CUF ❌❌❌
CAF ✅✅✅
 
Baada ya Mahakama kutenda haki na kuwavua uongozi waliodhulumu Timu na kujimikisha kinyume cha sheria, Viongozi hao Mamluki wanatangaza kuitisha mkutano na Waandishi wa habari kwenye makao makuu ya Yanga ili kupotosha jamii.

Kwa vile hawa wameenguliwa na Mahakama kihalali hatuoni uhalali wao wa kuitisha mikutano na Waandishi wa habari na kupiga porojo, Wazuiliwe na kulazimishwa kukabidhi funguo za milango tu.

Mungu Wabariki Wazee.

PIA SOMA
- Millard: Mahakama yaamuru Eng. Hersi aachie ngazi Yanga!

- Yanga: Mkutano na wanahabari tar 17.07.204

View attachment 3044291
Siasa za kishamba kila siku tunaziongelea. Acha watu wapate uhuru wa kutoa Mawazo na Maoni yao.

Binadamu always mnapenda kusikiliza kile kinachowapa furaha, Lakini unatakiwa kujua kila kitu kina feminine na Masculine; Ukiunganisha hasi na Chanya Unapata Mwanga.

JIONGEZE MBWA WW
 
Baada ya Mahakama kutenda haki na kuwavua uongozi waliodhulumu Timu na kujimikisha kinyume cha sheria, Viongozi hao Mamluki wanatangaza kuitisha mkutano na Waandishi wa habari kwenye makao makuu ya Yanga ili kupotosha jamii.

Kwa vile hawa wameenguliwa na Mahakama kihalali hatuoni uhalali wao wa kuitisha mikutano na Waandishi wa habari na kupiga porojo, Wazuiliwe na kulazimishwa kukabidhi funguo za milango tu.

Mungu Wabariki Wazee.

PIA SOMA
- Millard: Mahakama yaamuru Eng. Hersi aachie ngazi Yanga!

- Yanga: Mkutano na wanahabari tar 17.07.204

View attachment 3044291
Habari za Chadema na Mbowe ndio unazozielewa huku hujui lolote mbumbumbu.

Yanga ni timu ya serikali.
 
Back
Top Bottom