joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
MY TAKE: Hii habari ingetokea Tanzania, media zote za Kanya zikiongozwa na vile vinavyomilikiwa na serikali ya Kenya vingekua vinashikilia bango siku nzima.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Katiba mpya [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nunueni cctv muweke katika viwanja vya bunge
Katiba mpya [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
hapa zero brain umejitia kidole...
Ninyi si mliandika katiba mpya mkidhani ndio mtamaliza political intimidation and harassment, vipi mbona ndio kwanza vinaongezeka kwa kasi?, sisi bado hatujaandika katiba mpya, hatupaswi kuulizwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kumbe habari zenyewe umezitoa kwenye media za Kenya? Vipi kuhusu TBCCM, walipata muda wa kutoa ripoti ya tukio hili au waliendelea tu kucheza taarabu zao kama kawa?![]()
Hii picha ni edited, angalia shingo ya Lisu haipo katika mstari na mwili wake, Tundu Lissu hajawahi kukamatwa kwa nguvu na polisi, yeye huenda mwenyewe mahakamani au polisiKumbe habari zenyewe umezitoa kwenye media za Kenya? Vipi kuhusu TBCCM, walipata muda wa kutoa ripoti ya tukio hili au waliendelea tu kucheza taarabu zao kama kawa?![]()
Usijaribu kuiongelelea katiba yetu tukufu. Pamoja na mapungufu yetu katiba imekubalika kwa ile mabadiliko imeleta nchini kote!..Katiba mpya [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahahaha, kweli katiba imekubalika kwa wakenya throughUsijaribu kuiongelelea katiba yetu tukufu. Pamoja na mapungufu yetu katiba imekubalika kwa ile mabadiliko imeleta nchini kote!..
hatutaki udikteta nchinii!!!
View attachment 1540049
Mabadiliko gani? Hao senators wenu wanagombania nini leoUsijaribu kuiongelelea katiba yetu tukufu. Pamoja na mapungufu yetu katiba imekubalika kwa ile mabadiliko imeleta nchini kote!..
[emoji23][emoji1787] Nasikia wameuzia Tz msaada yenu mlopewa na jack MA. Wameweka roho za wakenya rehani kwa Tanzanian shillings aka za madafu.binafsi simpendi kenyatta mazee dah,, wamepiga helaza kovidi kinyamaaa! ni sheedahh
View attachment 1540023
View attachment 1540024
hatutaki udikteta nchinii!!!
View attachment 1540049