Political harassment and intimidation is rising in Kenya daily

Siasa za Kenya huwezani nazo. Saa hii hakuna mtu ako ndani. Na bunge la seneti limesimamisha shughuli hadi wenzao waje. President atafanya nini sasa. Huku siasa ni tofauti!..
Senator malala yuko ndani mbona
 
Siasa za Kenya huwezani nazo. Saa hii hakuna mtu ako ndani. Na bunge la seneti limesimamisha shughuli hadi wenzao waje. President atafanya nini sasa. Huku siasa ni tofauti!..
Tofauti ya kuwafuata majumbani saa tisa usiku, au kumfurusha Miguna Miguna pamoja na Mahakama kuagiza aruhusiwe kurudi Kenya bila masharti yoyote lakini serikali imekaidi amri ya mahakama, hiyo ndio tofauti unayosema ya serikali kukaidi amri ya mahakana?

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Licha ya mapungufu tumepiga hatua. Wewe unaangalia tuu madudu. Na hauangalii faida pia!..
 
Ndio nikakwambia jambo usilolijua ni kama usiku wa wa giza. Wakenya ni watu wa kutaka zaidi. Hakuna kutosheka na serikali. Katiba mpya imeleta tofauti kubwa hadi kwenye zile sehemu raia walihisi wametelekezwa.
Shida za wakenya za msingi Hakuna hata moja iliyotatuliwa
1)Land injustice
2)Unemployment
3)Corruption
4)Tribalism/nepotism
5)Police brutality/Insecurity
6)Hunger
7)Poor health service
8) Higher costs of living
9)Clean and Enough safe water

Kipi kilichotatuliwa na katiba Mpya?

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Tofauti ya kuwafuata majumbani saa tisa usiku, au kumfurusha Miguna Miguna pamoja na Mahakama kuagiza aruhusiwe kurudi Kenya bila masharti yoyote lakini serikali imekaidi amri ya mahakama, hiyo ndio tofauti unayosema ya serikali kukaidi amri ya mahakana?

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Mature debate, even uhuru is scared.https://youtu.be/yH2rlPsurRc
 
Licha ya mapungufu tumepiga hatua. Wewe unaangalia tuu madudu. Na hauangalii faida pia!..
Hatua ipi ya maana kama wizi, corruption, hunger, insecurity, water scarcity, unemployment, poor health care system na slums vinazidi kuongezeka?,

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Shida za wakenya za msingi Hakuna hata moja iliyotatuliwa
1)Land injustice
2)Unemployment
3)Corruption
4)Tribalism/nepotism
5)Police brutality/Insecurity
6)Hunger
7)Poor health service
8) Higher costs of living
9)Clean and Enough safe water

Kipi kilichotatuliwa na katiba Mpya?

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Ni rahisi kuandika orodha kwa hisia, lakini sisi Wakenya tunajitambua na tunajua mbele iko sawa. Magatuzi saa hii yanapaa kimaendeleo kupaa!..
 
Kenya is on another level my friend ,
Listen here.https://youtu.be/XSK55w1Edro
 
Hatutaki maneno, sisi tunataka kuona rushwa inapungua, wakenya hawafi kwa njaa, slums zinapungua, insecurity and police brutality vinakwisha, wananchi wanapata maji safi na salama, wananchi wanarudishiwa ardhi iliyoporwa na wanasiasa, ukabila/nepotism vinakwisha. Hayo maneno matupu yalikuwepo miaka yote lakini wizi na intimidation vinaongezeka kwa kasi zaidi

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Maendeleo yapi zaidi ya hayo niliyotaja hapo juu, au kuongezeka kwa rushwa ndio maendeleo?

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Chukulia vile utakavyo, kuna uzi hapa kevin85ify anaelezea vile exports za Kenya zinapaa. Unadhania ni kwa mazingira uliyoyataja?. Tuko hapa nanyi ile siku mtatupiku kiuchumi nitasalimu amri!. 🤣
 
Chukulia vile utakavyo, kuna uzi hapa kevin85ify anaelezea vile exports za Kenya zinapaa. Unadhania ni kwa mazingira uliyoyataja?. Tuko hapa nanyi ile siku mtatupiku kiuchumi nitasalimu amri!. [emoji1787]
Export inapaa lakini pesa yote inaishia mifukoni mwa wakikuyu wachache

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Hahahaha, this can only happen in Kenya

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app

Kile kitu umepost ni Uhuru wakujieleza ambavyo ni vitu vya msingi kabisa ambavyo hamna. Halafu export zitaishiaje kwa mifuko ya watu binafsi ilihali mashirika ya kibinafsi na Wakenya wenyewe wanafanya direct exports?.. 🙈🤸🤸
 
Kile kitu umepost ni Uhuru wakujieleza ambavyo ni vitu vya msingi kabisa ambavyo hamna. Halafu export zitaishiaje kwa mifuko ya watu binafsi ilihali mashirika ya kibinafsi na Wakenya wenyewe wanafanya direct exports?.. [emoji85][emoji1732][emoji1732]
Nimepost wizi wa fedha za serikali sio uhuru wa kujiekeza, hivi kwanini hamhitambui kiasi hiki?, kufichia wizi unasema ni uhuru wa kujiekeza.stupid.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Nimepost wizi wa fedha za serikali sio uhuru wa kujiekeza, hivi kwanini hamhitambui kiasi hiki?, kufichia wizi unasema ni uhuru wa kujiekeza.stupid.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Hio ndio tabia yenu kutokwa na matusi mkiishiawa hoja. Unadhania kufichua madudu ndani ya serikali ni jambo ambalo ni rahisi kutendeka bila Uhuru wa kujielezea?. Pamoja na corruption yetu bado tuko mbele, hilo wazi kabisaa. Na katiba yetu tutazidi kuiboresha!.✊
 
Ni rahisi kuandika orodha kwa hisia, lakini sisi Wakenya tunajitambua na tunajua mbele iko sawa. Magatuzi saa hii yanapaa kimaendeleo kupaa!..
Ndio yanapunguziwa hela, unadhani ugomvi wa hao senators ni nn
 
Back
Top Bottom