Hoshea
JF-Expert Member
- Jan 24, 2012
- 5,420
- 3,772
Senator malala yuko ndani mbonaSiasa za Kenya huwezani nazo. Saa hii hakuna mtu ako ndani. Na bunge la seneti limesimamisha shughuli hadi wenzao waje. President atafanya nini sasa. Huku siasa ni tofauti!..