Political harassment and intimidation is rising in Kenya daily

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Posts
26,117
Reaction score
46,617

MY TAKE:
Hii habari ingetokea Tanzania, media zote za Kanya zikiongozwa na vile vinavyomilikiwa na serikali ya Kenya vingekua vinashikilia bango siku nzima.
 
Nunueni CCTV muweke katika viwanja vya bunge
 
Kumbe habari zenyewe umezitoa kwenye media za Kenya? Vipi kuhusu TBCCM, walipata muda wa kutoa ripoti ya tukio hili au waliendelea tu kucheza taarabu zao kama kawa?

Kumbe habari zenyewe umezitoa kwenye media za Kenya? Vipi kuhusu TBCCM, walipata muda wa kutoa ripoti ya tukio hili au waliendelea tu kucheza taarabu zao kama kawa?
Ninyi si mliandika katiba mpya mkidhani ndio mtamaliza political intimidation and harassment, vipi mbona ndio kwanza vinaongezeka kwa kasi?, sisi bado hatujaandika katiba mpya, hatupaswi kuulizwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kumbe habari zenyewe umezitoa kwenye media za Kenya? Vipi kuhusu TBCCM, walipata muda wa kutoa ripoti ya tukio hili au waliendelea tu kucheza taarabu zao kama kawa?
Hii picha ni edited, angalia shingo ya Lisu haipo katika mstari na mwili wake, Tundu Lissu hajawahi kukamatwa kwa nguvu na polisi, yeye huenda mwenyewe mahakamani au polisi
 
Usijaribu kuiongelelea katiba yetu tukufu. Pamoja na mapungufu yetu katiba imekubalika kwa ile mabadiliko imeleta nchini kote!..
Hahahahaha, kweli katiba imekubalika kwa wakenya through
1)Increased corruption
2)Unemployment
3)Increased hunger
4)Increased insecurity
5)Increased covid-19 cases and deaths
6)Increased inflation rate
7)Increased borrowing

New Constitution hoyeeeeeeeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…