POLITICAL PARTY OR GANG OF KILLERS?

POLITICAL PARTY OR GANG OF KILLERS?

Mi mi

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2024
Posts
2,748
Reaction score
5,112
Nakumbuka enzi hizo Uchina wakati wa cultural revolution miaka ya 60s mpaka 70s liliibuka genge la mtu nne likiongozwa na mke wa Mao Zedong aitwae Jiang Qing.

Genge hili lilijitwalia madaraka ya nguvu ndani ya chama cha kikomunisti cha China liliakikisha lina shughulikia kila mtu aliye kinyume na mawazo ya ukomunisti, wakosoaji wa Mao na sera zake ndani na nje ya chama cha kikomunisti.

Kwa kweli hili genge lilifanya matukio mengi ya ajabu yaliyo vuruga mpaka hali ya usalama uchina.

Siku zikasonga na miaka ikaenda Mao akafariki duniani 1976 kutokana na picha mbaya lililo tengeneza hili kundi la mke wa Mao na wenzake[Zhang Chunqiao, Yao Wenyuan, Wang Hongwen] kulikuwa hakuna namna hili kundi lingekuwa salama baada ya Mao kufariki kwa sababu liliumiza watu kweli.

Moja ya wahanga maarufu wa genge hili na matendo yake ni familia ya Rais wa sasa wa China Xi Jinping mzee wake alishughulikiwa haswa na mwengine ni kiongozi mkuu wa China aliyefuata baada ya Mao Maarufu sana Deng Xiaoping.

Baada ya huyu Deng Xiaoping kutwaa madaraka China akafungua jarida la kuanza kushughulikia hili genge pasipo kujali moja ya member ni mke wa aliyekuwa mwenyekiti Mao kesi ikaenda mahakamani wakahukumiwa kunyongwa.

The same scenario waliyokuwa nayo China iliyoleta uvunjifu wa amani miaka ya 60s ndio the same scenario tuliyonayo sisi leo kuna Gang of killers.

Nyie Gang of killers mnaojificha kwa kivuli cha wasio julikana/onekana tambueni kuwa nguvu mnayopata na kuhakikishiwa sasa kesho mnaweza kuikosa yakaja yakawakuta yale yale yaliyo wakuta Gang of four.

Watu hawawezi kukosa amani katika nchi yao umuhimu wa wao kutafuta uhuru unakuwa haupo tena.
 
Hawa wahuni wanalindwa na raisi na genge lake ndani ya ccm

Hili kiundi dogo linaogopa mageuzi ya kweli, linahonga wapinzani, linavuruga chaguzi, linauan na kutekwa watu linazuia upatikanaji wa katiba mpya

Lakini wakae wakijua ipo siku watakuwa exposed
 
Kwa hapa Tanzania hao watekaji na Wauwaji wakibainika wataongezwa na vyeo.
 
Back
Top Bottom