AdvocateFi
JF-Expert Member
- Jan 15, 2012
- 11,492
- 5,047
Ukienda ualimu usije ukaanza kulalamikia serkal kuhusu maslah, pia kuwa tayar kutembea na viboko kama mwinda digidigi and lastly jiandae kisaikolojia kudharauriwa na jamii nzima.
kijana malengo ni kitu muhimu ktk maisha acha kubabaishwa na watu corse uliyopangwa ina ajira sawa na education serikali kwa sasa inatoa nafasi za utumishi wa uma kama mwanafunzi kafaulu vizuri kwenye kozi yake pia kumbuka serikali ipokwenyempango maalumu wa kutoa ajira sawa kwani hata wanaosoma education ifikapo 2015 watakuwa wakiomba kazi kama wahitimu wa corse nyingine. mimi pia nipo udsm second yr psps ni nzuri sana na kumbuka kozi hii haitolewi sehemu nyingine isipokuwa udsm na udom tu tanzania .kwa udsm corse hii inasoko kubwa mtaani kinachojitajika ni kuwa na nidhamu, msulu wa sana, sala, na kushirikiana na wenzako ktk masomo. usibweteke na masuala ya starehe chuoni kwani wingi huishia njiani. kwa maelezo zaidi waweza kutupia namba yako ili ni kupe maisha ya chuo kiujumla na namna ya kuyakabili mwana pspa mwenzangu.

na ww umechaguliwa pspa?
nitakie mema na heri ndugu nimechaguliwa ndio!!

Ukipata rum ntaomba unibebe...
Mimi pia nimechaguliwa pspa udsm.ushauri mzuri ndugu yangu,.ubalikiwe sana,me pia ni m1 ya waliochaguliwa pspa kule udom!
hii ni kozi ya ndoto zangu!!Mimi pia nimechaguliwa pspa udsm.
Kasomeni tu
Kama unamkono wa kukuvuta kwenye ajira nenda kasome... Ila kama mtoto wa mama ntilie kama mimi badili ndugu