Political Science and Public Adminstration vs Education

Ukienda ualimu usije ukaanza kulalamikia serkal kuhusu maslah, pia kuwa tayar kutembea na viboko kama mwinda digidigi and lastly jiandae kisaikolojia kudharauriwa na jamii nzima.
 
ni bora hvy kuliko kumaliza alafu nikae nyumbani mpaka wanione tena mzigo
 
kijana malengo ni kitu muhimu ktk maisha acha kubabaishwa na watu corse uliyopangwa ina ajira sawa na education serikali kwa sasa inatoa nafasi za utumishi wa uma kama mwanafunzi kafaulu vizuri kwenye kozi yake pia kumbuka serikali ipokwenyempango maalumu wa kutoa ajira sawa kwani hata wanaosoma education ifikapo 2015 watakuwa wakiomba kazi kama wahitimu wa corse nyingine. mimi pia nipo udsm second yr psps ni nzuri sana na kumbuka kozi hii haitolewi sehemu nyingine isipokuwa udsm na udom tu tanzania .kwa udsm corse hii inasoko kubwa mtaani kinachojitajika ni kuwa na nidhamu, msulu wa sana, sala, na kushirikiana na wenzako ktk masomo. usibweteke na masuala ya starehe chuoni kwani wingi huishia njiani. kwa maelezo zaidi waweza kutupia namba yako ili ni kupe maisha ya chuo kiujumla na namna ya kuyakabili mwana pspa mwenzangu.
 
0757593670.
 
ushauri mzuri ndugu yangu,.ubalikiwe sana,me pia ni m1 ya waliochaguliwa pspa kule udom!
 
kijana malengo ni kitu muhimu ktk maisha acha kubabaishwa na watu corse uliyopangwa ina ajira sawa na education serikali kwa sasa inatoa nafasi za utumishi wa uma kama mwanafunzi kafaulu vizuri kwenye kozi yake pia kumbuka serikali ipokwenyempango maalumu wa kutoa ajira sawa kwani hata wanaosoma education ifikapo 2015 watakuwa wakiomba kazi kama wahitimu wa corse nyingine. mimi pia nipo udsm second yr psps ni nzuri sana na kumbuka kozi hii haitolewi sehemu nyingine isipokuwa udsm na udom tu tanzania .kwa udsm corse hii inasoko kubwa mtaani kinachojitajika ni kuwa na nidhamu, msulu wa sana, sala, na kushirikiana na wenzako ktk masomo. usibweteke na masuala ya starehe chuoni kwani wingi huishia njiani. kwa maelezo zaidi waweza kutupia namba yako ili ni kupe maisha ya chuo kiujumla na namna ya kuyakabili mwana pspa mwenzangu.

Poa we subiri hiyo mipango ya serikali na miaka inaenda.mambo mengine tusifarijiane tu bali tuangalie uhalisi ukoje.
 
Njoo uku upge BBA in accounting with education....yan watu tuna fani mbili kwa wakati mmoja.
 
Kama unamkono wa kukuvuta kwenye ajira nenda kasome... Ila kama mtoto wa mama ntilie kama mimi badili ndugu
 
Pole kwa kuhofu maisha,nimesoma kozi iliyokuwa ikiogopwa enzi za education na miasilimia yao ya mkopo,ili hali familia yetu hata mlo wa siku ni tatizo.
Nimefanya vyema Udsm,na sasa nafanya vyema mtaani,waloenda Baed ndio hawaishi kunipiga vibomu ilihali mimi nimejiajiri wao wameajiriwa!

Msipende kufuata mkumbo,chuo ni mahali pa kutafutia maisha siyo sifa na mikumbo....
Kama Pspa siyo kozi yenye ajira inatafuta nini vyuoni?

Kama ualimu nimefundisha shule ya wazazi Ibungira miaka miwili kwa mshahara mnono zaidi ya hao walosoma Baed....

Sasa napiga chenji pasipo na shaka mtaani tena bila shuruti ya mwajiri!

Hata usiposoma hiyo education kwa Taifa letu unaweza kuwa mwalimu mzuri tu.
 
kijana malengo ni kitu muhimu ktk maisha acha kubabaishwa na watu corse uliyopangwa ina ajira sawa na education serikali kwa sasa inatoa nafasi za utumishi wa uma kama mwanafunzi kafaulu vizuri kwenye kozi yake pia kumbuka serikali ipokwenyempango maalumu wa kutoa ajira sawa kwani hata wanaosoma education ifikapo 2015 watakuwa wakiomba kazi kama wahitimu wa corse nyingine. mimi pia nipo udsm second yr psps ni nzuri sana na kumbuka kozi hii haitolewi sehemu nyingine isipokuwa udsm na udom tu tanzania .kwa udsm corse hii inasoko kubwa mtaani kinachojitajika ni kuwa na nidhamu, msulu wa sana, sala, na kushirikiana na wenzako ktk masomo. usibweteke na masuala ya starehe chuoni kwani wingi huishia njiani. kwa maelezo zaidi waweza kutupia namba yako ili ni kupe maisha ya chuo kiujumla na namna ya kuyakabili mwana pspa mwenzangu.

Mkuu umenena.
 
Back
Top Bottom