I thank god sikukosea kusoma education,rfk zangu kibao wamesoma tourism tangu tumalize mwaka jana hadi sahv wapo tu mtaani...
go for education na hata ukiwa ticha haimaanishi utafundisha miaka 100 ni wewe na malengo yako...
Naenda 1st year,sitabadili napambana adi mwisho kikubwa nafight nipige gpa Kali tu.
kijana malengo ni kitu muhimu ktk maisha acha kubabaishwa na watu corse uliyopangwa ina ajira sawa na education serikali kwa sasa inatoa nafasi za utumishi wa uma kama mwanafunzi kafaulu vizuri kwenye kozi yake pia kumbuka serikali ipokwenyempango maalumu wa kutoa ajira sawa kwani hata wanaosoma education ifikapo 2015 watakuwa wakiomba kazi kama wahitimu wa corse nyingine. mimi pia nipo udsm second yr psps ni nzuri sana na kumbuka kozi hii haitolewi sehemu nyingine isipokuwa udsm na udom tu tanzania .kwa udsm corse hii inasoko kubwa mtaani kinachojitajika ni kuwa na nidhamu, msulu wa sana, sala, na kushirikiana na wenzako ktk masomo. usibweteke na masuala ya starehe chuoni kwani wingi huishia njiani. kwa maelezo zaidi waweza kutupia namba yako ili ni kupe maisha ya chuo kiujumla na namna ya kuyakabili mwana pspa mwenzangu.
true true!! Ndo raha yake hamna kuhangaika na vibahasha no stress!!
Ile nilivomaliza chuo nilizunguka na bahasha mie, miezi nane kutafuta tempo
hela za kutoa copy vyeti ndo usiseme....
sawa lakini nina wasiwasi na ajira kaka
wakati unaichagua hiyo PSPA ishu ya soko la ajira hukuifikiria au ulikurupuka tu kuchagua pspa kwa kufuata mkumbo??? ok,km hujiamini nakushauri kasome education kwani hutohitaji hata kufanya usaili,ukimaliza tu chuo unapangiwa kazi!!!
by the way,mimi nimesoma PSPA udsm na nimehitimu mwaka 2010 na nipo serikalini km Administrative officer!!!
Mkuu Mshirazy naomba unijulishe katika hiyo political science mtu anajifunza siasa kama hiz za wakina wasira au kuna kitu gani special ambacho mwanafunzi wa PSPA atajifunza kutoka hapo, Pia mbali na kuajiliwa serkalin je kuna sehemu gan nyingine ambayo mtu anaweza kufanya kazi au kuajiriwa na kujiajiri.
"jipe moyo utashinda"komaa tutatoka tu na hii course ambayo wanadai haina kipaumbele kweny soko la ajira
kimsingi,pspa hujifunzi siasa ila unafundishwa uchambuz wa masuala ya kisiasa pamoja na sayansi ya siasa,unazama deep kusoma political theories za kina carl max,plato na arestotle,thomas hobes,nk...pia unasoma public policy analysis pamoja na diplomacy and international relations!!!....so hapa unapata mawanda mapana sn ya kujua foreign policies za nchi mbali mbali km vile american foreign policy etc,
Baada ya hapo ukifika 2nd yr unaanza kusoma management and administration huku ukimalizia na ile democracy and elections!!!!
So,pspa inawaandaa watu waje kua political analysts,policy makers as well as administrators!!!
Kuhusu ajira,unaweza kuajiriwa sehem yyte kua km administrative offecer/hr officer serikalini au sekta binafsi!!!
Kuhusu kujiajiri ni ujanja wako tu haitegemei umesomea nini,wapo watu
MAELEZO MAZURI SANA MKUBWA HAKIKA UMETUPA MWANGA KWA SIE TULIOBAHATIKA KUCHAGULIWA HYO KOZI,.PAMOJA NA CHANGAMOTO ZA AJIRA LKN YOTE HERI TU! MUNGU YU NASI,ISHALLAH!!
kimsingi,pspa hujifunzi siasa ila unafundishwa uchambuz wa masuala ya kisiasa pamoja na sayansi ya siasa,unazama deep kusoma political theories za kina carl max,plato na arestotle,thomas hobes,nk...pia unasoma public policy analysis pamoja na diplomacy and international relations!!!....so hapa unapata mawanda mapana sn ya kujua foreign policies za nchi mbali mbali km vile american foreign policy etc,
Baada ya hapo ukifika 2nd yr unaanza kusoma management and administration huku ukimalizia na ile democracy and elections!!!!
So,pspa inawaandaa watu waje kua political analysts,policy makers as well as administrators!!!
Kuhusu ajira,unaweza kuajiriwa sehem yyte kua km administrative offecer/hr officer serikalini au sekta binafsi!!!
Kuhusu kujiajiri ni ujanja wako tu haitegemei umesomea nini,wapo watu ni fom4 leavers lkn wamejiajiri na kua mamilionea na wanawaajiri wenye masters ili wawe managers kwenye makampuni yao!!!
Nawasilisha!!!
Mkuu hongera sana, umenifumbua macho sana. Sty blessed Comrade.