Political Science and Public Adminstration vs Education

Haya fanya uamuzi wako sasa Ila na kichwa kiwe kizuri kama ni mbabaishaji utapata shida sana hakuna ubabaishaji pale UD utakutana na majembe kama Prof Mkandala.......................
 
I thank god sikukosea kusoma education,rfk zangu kibao wamesoma tourism tangu tumalize mwaka jana hadi sahv wapo tu mtaani...
go for education na hata ukiwa ticha haimaanishi utafundisha miaka 100 ni wewe na malengo yako...

true true!! Ndo raha yake hamna kuhangaika na vibahasha no stress!!
 
Fani nuksi hii hainaposho, hainamarupurupu,haina overtime dah 589,000/ pesa ndogo sana wakuu ,soma pspa hata ukikb miakakadhaa bila ajira lakini ukijakupata unakaapazuri
 
Naenda 1st year,sitabadili napambana adi mwisho kikubwa nafight nipige gpa Kali tu.

We nenda ndo utajua kuna walimu vidume pale hiyo GPA unayoifikiria ipo siku utakumbuka maneno yangu. Kwa ushauri hiyo kozi ni nzuri ila ajira zake ni ngumu sana labda uwe unatoka familia za watu wazito. Kuna watu wengi nimemaliza nao mwaka mmoja walisoma hiyo kozi hadi leo mwaka wa 4 wanasota kitaa wanaishia kupiga tempo za kufundisha Civics na GS kwenye shule za kata
 
kijana malengo ni kitu muhimu ktk maisha acha kubabaishwa na watu corse uliyopangwa ina ajira sawa na education serikali kwa sasa inatoa nafasi za utumishi wa uma kama mwanafunzi kafaulu vizuri kwenye kozi yake pia kumbuka serikali ipokwenyempango maalumu wa kutoa ajira sawa kwani hata wanaosoma education ifikapo 2015 watakuwa wakiomba kazi kama wahitimu wa corse nyingine. mimi pia nipo udsm second yr psps ni nzuri sana na kumbuka kozi hii haitolewi sehemu nyingine isipokuwa udsm na udom tu tanzania .kwa udsm corse hii inasoko kubwa mtaani kinachojitajika ni kuwa na nidhamu, msulu wa sana, sala, na kushirikiana na wenzako ktk masomo. usibweteke na masuala ya starehe chuoni kwani wingi huishia njiani. kwa maelezo zaidi waweza kutupia namba yako ili ni kupe maisha ya chuo kiujumla na namna ya kuyakabili mwana pspa mwenzangu.

Mawazo yako yanaonesha wazi wewe ni mwanafunzi hujui mtaani kukoje, Ngoja umalize ndo utafahamu vizuri. Nani kakwambia serikali inaajili waliofanya vizuri? Hicho kigezo hakipo kabisa. Hali ya ajira kwa sasa ni mbaya sana hasa baada ya mdudu Tume ya ajira kuanzishwa kwa sasa Serikali inatoa ajira kwa wingi ktk fani ya Afya, Ualimu na kidogo kilimo hizi fani nyingine ajira zake ni magumashi sana japo kuna upungufu mkubwa wa watumishi. Mi sehemu ninayofanya kazi kuna upungufu wa watumishi wa fani hiyo takribani 5 kila mwaka tunaomba kibali cha ajira tunapata kibali cha watu 2 tu na hawaletwi huu mwaka wa 4 sasa.
 
true true!! Ndo raha yake hamna kuhangaika na vibahasha no stress!!

Ile nilivomaliza chuo nilizunguka na bahasha mie, miezi nane kutafuta tempo
hela za kutoa copy vyeti ndo usiseme....
 
Mmmmh dada evelyne salt ,na huku upo nilidhani ni jukwaa la wakubwa na MMU teh teh
 
sawa lakini nina wasiwasi na ajira kaka

wakati unaichagua hiyo PSPA ishu ya soko la ajira hukuifikiria au ulikurupuka tu kuchagua pspa kwa kufuata mkumbo??? ok,km hujiamini nakushauri kasome education kwani hutohitaji hata kufanya usaili,ukimaliza tu chuo unapangiwa kazi!!!

by the way,mimi nimesoma PSPA udsm na nimehitimu mwaka 2010 na nipo serikalini km Administrative officer!!!
 
Mkuu Mshirazy naomba unijulishe katika hiyo political science mtu anajifunza siasa kama hiz za wakina wasira au kuna kitu gani special ambacho mwanafunzi wa PSPA atajifunza kutoka hapo, Pia mbali na kuajiliwa serkalin je kuna sehemu gan nyingine ambayo mtu anaweza kufanya kazi au kuajiriwa na kujiajiri.
 
kimsingi,pspa hujifunzi siasa ila unafundishwa uchambuz wa masuala ya kisiasa pamoja na sayansi ya siasa,unazama deep kusoma political theories za kina carl max,plato na arestotle,thomas hobes,nk...pia unasoma public policy analysis pamoja na diplomacy and international relations!!!....so hapa unapata mawanda mapana sn ya kujua foreign policies za nchi mbali mbali km vile american foreign policy etc,

Baada ya hapo ukifika 2nd yr unaanza kusoma management and administration huku ukimalizia na ile democracy and elections!!!!

So,pspa inawaandaa watu waje kua political analysts,policy makers as well as administrators!!!

Kuhusu ajira,unaweza kuajiriwa sehem yyte kua km administrative offecer/hr officer serikalini au sekta binafsi!!!

Kuhusu kujiajiri ni ujanja wako tu haitegemei umesomea nini,wapo watu ni fom4 leavers lkn wamejiajiri na kua mamilionea na wanawaajiri wenye masters ili wawe managers kwenye makampuni yao!!!

Nawasilisha!!!
 
Kuhusu kujiajiri ni ujanja wako tu haitegemei umesomea nini,wapo watu

MAELEZO MAZURI SANA MKUBWA HAKIKA UMETUPA MWANGA KWA SIE TULIOBAHATIKA KUCHAGULIWA HYO KOZI,.PAMOJA NA CHANGAMOTO ZA AJIRA LKN YOTE HERI TU! MUNGU YU NASI,ISHALLAH!!
 
kimsingi,pspa hujifunzi siasa ila unafundishwa uchambuz wa masuala ya kisiasa pamoja na sayansi ya siasa,unazama deep kusoma political theories za kina carl max,plato na arestotle,thomas hobes,nk...pia unasoma public policy analysis pamoja na diplomacy and international relations!!!....so hapa unapata mawanda mapana sn ya kujua foreign policies za nchi mbali mbali km vile american foreign policy etc,

Baada ya hapo ukifika 2nd yr unaanza kusoma management and administration huku ukimalizia na ile democracy and elections!!!!

So,pspa inawaandaa watu waje kua political analysts,policy makers as well as administrators!!!

Kuhusu ajira,unaweza kuajiriwa sehem yyte kua km administrative offecer/hr officer serikalini au sekta binafsi!!!

Kuhusu kujiajiri ni ujanja wako tu haitegemei umesomea nini,wapo watu ni fom4 leavers lkn wamejiajiri na kua mamilionea na wanawaajiri wenye masters ili wawe managers kwenye makampuni yao!!!

Nawasilisha!!!

Mkuu hongera sana, umenifumbua macho sana. Sty blessed Comrade.
 
daah kila ninayemwambia nimechaguliwa pspa ananiambia kuwa haifai jaman xa itakuwaje?
 
Nenda kasome PSPA ni nzuri sana ila ajila kuangaika kwako nani PSPA inaendana kidogo na International relation ni bora kusoma hiyo kuliko ed ucation ajira ni akiri yako pamoja na jitiada zako ;development is human effort;according to Goran hidden
 
kila kozi ina changamoto zake,me naamin ni kozi nzuri na ina fursa sawa japo c kipaumbele cha serikali kama ilivyo walimu na madaktari!

"learns against the wall behind the chair and pick one of them get out of comic"
allan great'
 
Back
Top Bottom