Political Timing: 2015 Mbowe alimlia timing Dr Slaa Kwa kumleta Lowassa this time Yeye ndio kaliwa timing analia " imekuwa ghafla mno"

Niliangalia ile interview yake na Kikeke alikuwa anaonyesha ana hofu fulani kwani ule ujasiri wake uliozoeleka umepotea ghafla yaani ni kama mgonjwa aliyepewa taarifa za ugonjwa hatari na daktari wake.
Mbowe ni mjanja Sana, kakutana na mjanja mwenzie, anamzuia lissu kutia Nia huku alijifanya yeye Hana Nia, kumbe alikuwa na mpango kutafuta mgombea wa kukodi Tena kama lowasa mwaka 2015, Lissu ni mjanja
 
Lissu hajawahi kuwa TLP, alitokea NCCR Mageuzi. Lissu haondoki Chadema hili tifu litaisha baada ya uchaguzi japo itakuwepo kazi ya kuganga majeraha.
 
Ashinde tu mbowe kwa sababu moja Tu hasapot mashoga,huyu lissu hafai kabisa
 
Mbowe ni mjanja Sana, kakutana na mjanja mwenzie, anamzuia lissu kutia Nia huku alijifanya yeye Hana Nia, kumbe alikuwa na mpango kutafuta mgombea wa kukodi Tena kama lowasa mwaka 2015, Lissu ni mjanja
Mbowe kajivunjia heshima sana kwa kuwasikiliza wapuuzi kama Yericko Nyerere na Ntobi.
 
Lissu hajawahi kuwa TLP, alitokea NCCR Mageuzi. Lissu haondoki Chadema hili tifu litaisha baada ya uchaguzi japo itakuwepo kazi ya kuganga majeraha.
Sawa huko huko alikokulia ndiyo anarudi, si kaamua kumwaga upupu kambini.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ila lisu kiboko sana hahahhaha. Kaona acha tuone mwisho hii nimeikubali. Aliye juu mfuate huko huko
 
πŸ˜‡πŸ˜…πŸ˜‚πŸ€£ Dr.Slaa behind the scenes anaratibu anguko la Sultani Mbowe, akuanzae mmalizeπŸ˜†
 
Upo sahihi.
 
Mpandie mwenye mbwa....mpige mwenye mbwa🀣
Lissu anajua na anajua tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…