Political Timing: 2015 Mbowe alimlia timing Dr Slaa Kwa kumleta Lowassa this time Yeye ndio kaliwa timing analia " imekuwa ghafla mno"

Hebu jaribu kuimagine aliyepost hii ni Lissu ila kwa kuwa tunatumia fake id ni ngumu kumjua hahahahah Dunia hii
 
Baada ya tarehe 21 Mropokaji analiwa kichwa kwa kuwazushia uongo viongozi wenzake.
 
Kwa muundo huo,ameonyesha umma kuwa.Hata yeye hajui anachokipigania katika siasa.
Amwachie mwanaharakati,aache mara Moja Um7,Ugadafi,Ukagame,Umgabeluzim.
Hivyo basi uongozi Bora ktk taasisi ni kupokezana vijiti.
TL anahoja na asikilizwe na achaguliwe na sio ateuliwe.
Mabadiriko,ili kupata mawazo mapya.Mbowe sio Mungu Over.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…