Shukuru JF-Expert Member Joined Sep 3, 2007 Posts 747 Reaction score 16 Mar 2, 2010 #1 Jamani wakuu wa udaku nimewahi kusikia kuwa wanasiasa hawana "real love feelings" sasa hii ni kweli? eti hawa jamaa huwezi kuwakuta wako "desperate" kwa ajili ya love!!
Jamani wakuu wa udaku nimewahi kusikia kuwa wanasiasa hawana "real love feelings" sasa hii ni kweli? eti hawa jamaa huwezi kuwakuta wako "desperate" kwa ajili ya love!!
SamJet Senior Member Joined Jul 22, 2009 Posts 162 Reaction score 13 Mar 2, 2010 #2 Hawawezi kwasababu pesa inawa drive. Mwanasiasa akikutaka leo kimapenzi, atakupata
Emanuel Makofia JF-Expert Member Joined Jan 5, 2010 Posts 3,832 Reaction score 635 Mar 2, 2010 #3 SamJet said: Hawawezi kwasababu pesa inawa drive. Mwanasiasa akikutaka leo kimapenzi, atakupata Click to expand... SI KWELI unless ututhibitishie!!!!! do no jump into conclusion, Labda wale wa ohio!!!!!!!πππ
SamJet said: Hawawezi kwasababu pesa inawa drive. Mwanasiasa akikutaka leo kimapenzi, atakupata Click to expand... SI KWELI unless ututhibitishie!!!!! do no jump into conclusion, Labda wale wa ohio!!!!!!!πππ
PakaJimmy JF-Expert Member Joined Apr 29, 2009 Posts 16,199 Reaction score 8,761 Mar 2, 2010 #4 Normal people! Tuacheni longolongo.
Shukuru JF-Expert Member Joined Sep 3, 2007 Posts 747 Reaction score 16 Mar 2, 2010 Thread starter #5 SamJet said: Hawawezi kwasababu pesa inawa drive. Mwanasiasa akikutaka leo kimapenzi, atakupata Click to expand... kuna jamaa alioa mwanasiasa akaambiwa; "hapa ni DEMOKRASIA kwa wote"
SamJet said: Hawawezi kwasababu pesa inawa drive. Mwanasiasa akikutaka leo kimapenzi, atakupata Click to expand... kuna jamaa alioa mwanasiasa akaambiwa; "hapa ni DEMOKRASIA kwa wote"