Politician Love

Politician Love

Shukuru

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2007
Posts
747
Reaction score
16
Jamani wakuu wa udaku nimewahi kusikia kuwa wanasiasa hawana "real love feelings" sasa hii ni kweli?

eti hawa jamaa huwezi kuwakuta wako "desperate" kwa ajili ya love!!
 
Hawawezi kwasababu pesa inawa drive. Mwanasiasa akikutaka leo kimapenzi, atakupata
 
Hawawezi kwasababu pesa inawa drive. Mwanasiasa akikutaka leo kimapenzi, atakupata

kuna jamaa alioa mwanasiasa akaambiwa;

"hapa ni DEMOKRASIA kwa wote"
 
Back
Top Bottom