Politicians hijacked the mau settlement program says Ole kiyapi

Wadau salamu zenu, hii ndiyo sehemu ya kwanza ya kanda anavosimulia mradi wa kuhifadhi msitu wa mau mgombeaji urais prof ole Kiyapi. Anaelezea jinsi wanasiasa waliingilia mradi aliyobuni na kuingiza siasa ndani. Tazameni na tuweze kupata maoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…