Pre GE2025 Politicising the army, matokeo yake nao watatamani Urais

Pre GE2025 Politicising the army, matokeo yake nao watatamani Urais

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Samia chunga sana hii, itakugeuka in the long run! Utafika wakati watatamani urais, uwaziri and the like! waache wanajeshi wakae kambini.

Tabia hujengwa taratibu na baadaye kuwa mazoea.

Shyster politicians kama Chalamila ni wa kudharau!
 
Vipi Chadema tarehe 23 na 24 January 2024 wakishirikiana na wananchi wengine pamoja na jeshi kufanya usafi pamoja na kuelewana kisha maandamano wakasogeza mbele?
Hiyo si ni kuitisha kikao cha kujadili maandamano yafanyike lini na yaweje?
---
 
... Samia chunga sana hii, itakugeuka in the long run! Utafika wakati watatamani urais, uwaziri and the like! waache wanajeshi wakae kambini.
Tabia hujengwa taratibu na baadaye kuwa mazoea,,,,
Shyster politicians kama Chalamila ni wa kudharau!
Viongozi wajinga kama Chalamila hawajui athari ya ujinga wanaoufanya.

Yeyote ukimtumia katika kufanikisha uovu wako, naye akakubali, lazima atakudai mengi maana anajua kuwa unachokifaidi, yeye ndiye mwenye mchango mkubwa.

Hiyo ndiyo sababu ya tawala za kijeshi kuendelea kupinduana. Sankara alishirikiana na Compaore kufanya mapinduzi ya Kijeshi. Baadaye Compaore alivyoona hafaidiki kama alivyotarajia, naye akamwua Sankara; na kujitangaza Rais.
 
... Samia chunga sana hii, itakugeuka in the long run! Utafika wakati watatamani urais, uwaziri and the like! waache wanajeshi wakae kambini.
Tabia hujengwa taratibu na baadaye kuwa mazoea,,,,
Shyster politicians kama Chalamila ni wa kudharau!
Viongozi wajinga kama Chalamila hawajui athari ya ujinga wanaoufanya.

Yeyote ukimtumia katika kufanikisha uovu wako, naye akakubali, lazima atakudai mengi maana anajua kuwa unachokifaidi, yeye ndiye mwenye mchango mkubwa.

Hiyo ndiyo sababu ya tawala za kijeshi kuendelea kupinduana. Sankara alishirikiana na Compaure kufanya mapinduzi ya Kijeshi. Baadaye Compaore alivyoona hafaidiki kama alivyotarajia, naye akamwua Sankara; na kujitangaza Rais.
 
Vipi Chadema tarehe 23 na 24 January 2024 wakishirikiana na wananchi wengine pamoja na jeshi kufanya usafi pamoja na kuelewana kisha maandamano wakasogeza mbele?
Hiyo si ni kuitisha kikao cha kujadili maandamano yafanyike lini na yaweje?
---
Nimeandika umu kuwa chadema washike fagio waungane na wanajeshi wafanye usafi. In so doing wataongea mengi ya nchi yetu
 
Vipi Chadema tarehe 23 na 24 January 2024 wakishirikiana na wananchi wengine pamoja na jeshi kufanya usafi pamoja na kuelewana kisha maandamano wakasogeza mbele?
Hiyo si ni kuitisha kikao cha kujadili maandamano yafanyike lini na yaweje?
---

Kuna Jambo la msingi umeliongea. Hata Kama ni utani.
 
Huku kwetu,ni upuuzi, eti maofisa wa jeshi wanaenda kufanya usafi! Kule Rwanda, Rwanda defense force, inafanya kongamano, kuhusu, "digital technologies and their effects on security, economy and diplomacy"
Wabobezi wa Technologia wanakutana kuzungumza, kujenga Sera, na mikakati ya kutumia, IT, IOT, drones, AI, kukuza uchumi, ajira,usalama nk,
Kenge wetu wanawaza kufagia balabala! Kupata viposho vya 200K mpaka 500K! Waende wakafuge kitimoto, na kununua mashamba bagamoyo! Badala ya kuifanya jwtz,iwe conglomerate katika nyanja za biashara, tekinolojia, uhandisi,
Ebu fikiria Jwtz ingekuwa ndio inajenga bwawa LA nyerere, standard gauge, ma fly over, pesa, kiasi gani zingebaki nchini, tungeweza kwenda hata nchicjirani tukachukua tender, why not! Uwanja wa Amani zenj,umekarabstiwa na mchina,standard gauge Kenya, kajenga mchina, kwanini sio mtanzania?makenge hayawazi, makubwa! Jwtz, ilibidi iwe na karakana ya kutengeneza magari, kuchonga vipuri, mnaingia ubia na Japan, wanafungua kiwanda hapa,
Sasa, hv Rwanda, wanatengeneza drones zao! Inatia aibu gari za jeshi, unazikuta kwenye karakana gereji za uswahilini, au kule Dar,unazikuta kawe, au, kwenye gereji za mchina! Mpaka, unajiuliza, Hawa, jamaa wanachojua ni kipi?
So pathetic
 
... Samia chunga sana hii, itakugeuka in the long run! Utafika wakati watatamani urais, uwaziri and the like! waache wanajeshi wakae kambini.
Tabia hujengwa taratibu na baadaye kuwa mazoea,,,,
Shyster politicians kama Chalamila ni wa kudharau!
Samia na CCM wanaulea mtindo wa kutumia JESHI kushughulikia matatizo ya kisiasa yanayoletwa na CCM.

Utii wa Katiba siyo kuitii CCM bali ni kuishi kwa mujibu wa Katiba, Sheria na kiapo.

Jeshini wapo wenye akili wanaochukizwa na haya mazonge
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Kwani hii nchi haina wasomi wengine wazalendo??

Why recycling the same garbage every now and then.

Fanyeni rotation ya watu kwenye nafasi za uongozi, sio watu wale wale kila mara.

Akili zimegota ubunifu hakuna tunaongozana kimazoea tu mnatuletea comedians kama Chalamila kila mara.

Tumelaaniwa au??
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Back
Top Bottom