Huku kwetu,ni upuuzi, eti maofisa wa jeshi wanaenda kufanya usafi! Kule Rwanda, Rwanda defense force, inafanya kongamano, kuhusu, "digital technologies and their effects on security, economy and diplomacy"
Wabobezi wa Technologia wanakutana kuzungumza, kujenga Sera, na mikakati ya kutumia, IT, IOT, drones, AI, kukuza uchumi, ajira,usalama nk,
Kenge wetu wanawaza kufagia balabala! Kupata viposho vya 200K mpaka 500K! Waende wakafuge kitimoto, na kununua mashamba bagamoyo! Badala ya kuifanya jwtz,iwe conglomerate katika nyanja za biashara, tekinolojia, uhandisi,
Ebu fikiria Jwtz ingekuwa ndio inajenga bwawa LA nyerere, standard gauge, ma fly over, pesa, kiasi gani zingebaki nchini, tungeweza kwenda hata nchicjirani tukachukua tender, why not! Uwanja wa Amani zenj,umekarabstiwa na mchina,standard gauge Kenya, kajenga mchina, kwanini sio mtanzania?makenge hayawazi, makubwa! Jwtz, ilibidi iwe na karakana ya kutengeneza magari, kuchonga vipuri, mnaingia ubia na Japan, wanafungua kiwanda hapa,
Sasa, hv Rwanda, wanatengeneza drones zao! Inatia aibu gari za jeshi, unazikuta kwenye karakana gereji za uswahilini, au kule Dar,unazikuta kawe, au, kwenye gereji za mchina! Mpaka, unajiuliza, Hawa, jamaa wanachojua ni kipi?
So pathetic