Poll: Diamond vs Alikiba

Ni nani msanii mkali kati ya hawa?

  • Diamond

    Votes: 13 40.6%
  • Alikiba

    Votes: 19 59.4%

  • Total voters
    32

Old Member (Retired)

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2012
Posts
3,401
Reaction score
1,610
Hii ndio thread itakayomaliza ubishi kati ya hawa wanamuziki wawili.

Chagua msanii unayemkubali kisha vote.

Team zote mbili karibuni sana

Created by: MCHUNGUZI HURU (Associate Professor)
 
Last edited by a moderator:
Niko busy na Lowassa/Magufuli.Ngoja wenzio wa pande hizo waje wakupe maoni yao
 
 
Last edited by a moderator:
uchaguzi uhairishwe mpaka baada ya oct 25.......
 
Tukisema Manchester utd ni bora kuliko Liverpool, moja kwa moja tunakua tumeangalia idadi ya vikombe walivyotwaa. Kwanini tusiapply hiyo kitu hapa?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…