John Rogath Nguzo
Senior Member
- Dec 31, 2011
- 148
- 52
ali kiba...hana colabo ya kimataifa ila watu hawalali puuumbav
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hii ndio thread itakayomaliza ubishi kati ya hawa wanamuziki wawili.
Chagua msanii unayemkubali kisha vote.
Team zote mbili karibuni sana
created by: mchunguzi huru (associate professor)
Sasa mkuu unaongelea ktma dah mtv, bet vp mbona huongeleiubishi mbna ulishamalizwa na kilimanjaro music awards ambapo dimond alikuwa nominated category saba sijui kumi bt katoka na tuzo mbili na aliingiza nyimbo mbili mdogomdogo na ntampata wapi ila kiba alikuwa nomninated caategory saba ukijumlisha na ya kushirikiana na akatoka na tuzo tano binafs na moja ya kushirikiana...yaan katika kategory alizoshiriki kaacha tuzo moja tu ya video moja...nakushauri ondoa tu hii thread maana majibu yapo hadharani kitaaaaambo.
King Ali Kiba.
Hii ndio thread itakayomaliza ubishi kati ya hawa wanamuziki wawili.
Chagua msanii unayemkubali kisha vote.
Team zote mbili karibuni sana
Created by: MCHUNGUZI HURU (Associate Professor)