Poll: Diamond vs Alikiba

Poll: Diamond vs Alikiba

Ni nani msanii mkali kati ya hawa?

  • Diamond

    Votes: 13 40.6%
  • Alikiba

    Votes: 19 59.4%

  • Total voters
    32
hii ndio thread itakayomaliza ubishi kati ya hawa wanamuziki wawili.

Chagua msanii unayemkubali kisha vote.

Team zote mbili karibuni sana

created by: mchunguzi huru (associate professor)

ubishi mbna ulishamalizwa na kilimanjaro music awards ambapo dimond alikuwa nominated category saba sijui kumi bt katoka na tuzo mbili na aliingiza nyimbo mbili mdogomdogo na ntampata wapi ila kiba alikuwa nomninated caategory saba ukijumlisha na ya kushirikiana na akatoka na tuzo tano binafs na moja ya kushirikiana...yaan katika kategory alizoshiriki kaacha tuzo moja tu ya video moja...nakushauri ondoa tu hii thread maana majibu yapo hadharani kitaaaaambo.
 
Last edited by a moderator:

Sasa mkuu unaongelea ktma dah mtv, bet vp mbona huongelei
 
daimond atapigiwa kura na ccm wenzake, sis hapa ni king kiba tuuuu
 
voted for kiba

diamond nilikuwa namkubali, namchukia toka nimemuona akitumiwa na ccm
 
Hii thread haishi bila nifah kumbonyezea kiba
 
Back
Top Bottom